Jipatie viwanja safi kabisa na vilivyopimwa Kiluvya 3km toka Mbezi

Jipatie viwanja safi kabisa na vilivyopimwa Kiluvya 3km toka Mbezi

Upimaji ukiendelea kwa baadhi ya maeneo ambayo hayajapimwa, karibuni.
IMG-20180912-WA0002.jpg
IMG-20180912-WA0001.jpg
 
Hongereni wale muliokuja kuona na kujichagulia, kwa wahitaji Karibuni, bado vipo.
 
Bei ni kuanzia milion moja na laki nane mpk milion tatu na nusu, kulipa kwa awamu ni ruksa baada ya kulipa asilimia 50 ya bei ya kiwanja.
 
Cha milion moja na laki nane kina ukubwa gani?
Kwa milion tatu na nusu ni 3km toka morogoro road umeme, maji na huduma zote vipo, cha milion moja laki nane ni 12km from morogoro road umeme uko mbali kdg maji bado na huduma za kijamii pia ziko mbali kdg na eneo.
 
Back
Top Bottom