Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Kusuka au kunyoa ni juu yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz ya viwanda ndo hii sasa.Hellow africa
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa changr yake
Nilipo rudi nikapiga on akaja nikamwambia fungua huko nyuma chukua mfuko mweupe akafurahi tukaagana nikasepa zangu wakati narudi tena sokoni nilisahau vitu muhimu kwahiyi sikuchukua muda nikarudi wakati narudi saasa akanisimamisha tena
Unaenda wapi nikamjibu akaaza nimeona karot na hoho nying si ungenichotea mimi nikajua utani nikamwambia ungesema nishashusha mzigo basi naomba uninunulie dagaa wa kukaanga nikamwambia poa
Nilikuwa naongea na simu nyingine akanipa cm kuwa niandike namba nikamwandia nikasepa nikiwa sehemu nimetulia sasa napata supu nashangaa simu inaita namba ngeni nikamuuliza nani akasema oh basi nimeghair nibebe nyama nusu nikamwambia bajet yangu imebana basi utumbo nikamjibu poa
Nikawa nime mbebea naporudi nikapiga on kaja kufwata sasa nimefika home napumzika kidogo uku nashushia peps simu zimeezwa kupiga anachoongea cha maana sikioni
Uthibitosho text izo bad anafosi niende jion mimi msimamo nilio jiweke siwez tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa
Yaani dume kabisa unamuuliza mwanamke kakupendea nini?Text zake
Ana utoto sana huyu chalii, eti nikija utanipa nini 🤣🤣🤣, umenipendea nini kudadadeki huyu jamaaMbona kama wewe umempenda? Yaani mtu ambaye humtaki unamwambia mambo ya nikija utanipa Nini? Kwani haijulikani mwanamke anachompa mwanaume, unapomuuliza umenipendea Nini? Ni kweli hapo hutaki kumkunja? Halafu sioni kama ni sawa kuweka mambo faragha ya mwenzio, mwanaume akitongozwa Huwa hatangazi anapiga kimya kimya
Nimeshangaa kidogoAna utoto sana huyu chalii, eti nikija utanipa nini 🤣🤣🤣, umenipendea nini kudadadeki huyu jamaa
Dogo ana drama nyingi siku hizi, Bantu Lady njoo uone😆😂Duuh😂😂😂
You are either a boy or a gay. A man can never behave this way.Hellow africa
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa changr yake
Nilipo rudi nikapiga on akaja nikamwambia fungua huko nyuma chukua mfuko mweupe akafurahi tukaagana nikasepa zangu wakati narudi tena sokoni nilisahau vitu muhimu kwahiyi sikuchukua muda nikarudi wakati narudi saasa akanisimamisha tena
Unaenda wapi nikamjibu akaaza nimeona karot na hoho nying si ungenichotea mimi nikajua utani nikamwambia ungesema nishashusha mzigo basi naomba uninunulie dagaa wa kukaanga nikamwambia poa
Nilikuwa naongea na simu nyingine akanipa cm kuwa niandike namba nikamwandia nikasepa nikiwa sehemu nimetulia sasa napata supu nashangaa simu inaita namba ngeni nikamuuliza nani akasema oh basi nimeghair nibebe nyama nusu nikamwambia bajet yangu imebana basi utumbo nikamjibu poa
Nikawa nime mbebea naporudi nikapiga on kaja kufwata sasa nimefika home napumzika kidogo uku nashushia peps simu zimeezwa kupiga anachoongea cha maana sikioni
Uthibitosho text izo bad anafosi niende jion mimi msimamo nilio jiweke siwez tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa
Hapo sina mdogo, ana mambo makubwa dada yake nikasome. Ana mambo kumzidi umri wake 😄😄😄😄😄Dogo ana drama nyingi siku hizi, Bantu Lady njoo uone😆😂