Jirani anafosi nimle, mimi naona so

Jirani anafosi nimle, mimi naona so

Mwanaume umekaa zako eti unamwandikia mwanamke kakupendea nini nikisema pipa na mfuniko zimekiutana ntakua nmekosea.

daaah huyu jamaa kwanza mshamba kinoma yan hapo tunampiga nyundo km juventus adondoshe point yan huyi jamaa km alikuw top four kweny ligi bhad ningemshusha mpk nafas ya 6
 
Hellow african,

Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa change yake.

Niliporudi nikapiga on akaja nikamwambia fungua huko nyuma chukua mfuko mweupe akafurahi tukaagana nikasepa zangu wakati narudi tena sokoni nilisahau vitu muhimu kwahiyi sikuchukua muda nikarudi wakati narudi sasa akanisimamisha tena.

Unaenda wapi nikamjibu akaanza nimeona karoti na hoho nying si ungenichotea mimi nikajua utani nikamwambia ungesema nishashusha mzigo basi naomba uninunulie dagaa wa kukaanga nikamwambia poa.

Nilikuwa naongea na simu nyingine akanipa cm kuwa niandike namba nikamwandia nikasepa nikiwa sehemu nimetulia sasa napata supu nashangaa simu inaita namba ngeni nikamuuliza nani akasema oh basi nimeghairi nibebe nyama nusu nikamwambia bajet yangu imebana basi utumbo nikamjibu poa.

Nikawa nimembebea naporudi nikapiga on kaja kufwata sasa nimefika home napumzika kidogo uku nashushia peps simu zimeezwa kupiga anachoongea cha maana sikioni.

Uthibitosho text izo bado anafosi niende jioni mimi msimamo nilio jiwekea siwezi tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa.
we jamaa umezingua
 
Mkuu
Kลตa hiyo unataka uehauri?
 
Back
Top Bottom