Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,231
- 22,494
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue leo kuna mvua muwahi shemej kwazaAcha tu nimtunzie siri. Ila hizo screenshot ukiziangalia kwa umakini, kuna vitu utagundua 😅😅
Wewe na uyo manzi ni pipa na mfuniko, maana yake nn mkuu samahani lknJinsi unavyojiweka ndivyo anavyokuchukulia, hizo texts zako zimekushusha vyeo hapo mtaani.
Wewe na uyo manzi ni pipa na mfuniko
Wajuaji sana kuliko TCRA
Yaan sisi wa Tz bwana yaan simu inaita alafu ww unashangaa ..... 😀😀😀Hellow african,
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa change yake.
Niliporudi nikapiga on akaja nikamwambia fungua huko nyuma chukua mfuko mweupe akafurahi tukaagana nikasepa zangu wakati narudi tena sokoni nilisahau vitu muhimu kwahiyi sikuchukua muda nikarudi wakati narudi sasa akanisimamisha tena.
Unaenda wapi nikamjibu akaanza nimeona karoti na hoho nying si ungenichotea mimi nikajua utani nikamwambia ungesema nishashusha mzigo basi naomba uninunulie dagaa wa kukaanga nikamwambia poa.
Nilikuwa naongea na simu nyingine akanipa cm kuwa niandike namba nikamwandia nikasepa nikiwa sehemu nimetulia sasa napata supu nashangaa simu inaita namba ngeni nikamuuliza nani akasema oh basi nimeghairi nibebe nyama nusu nikamwambia bajet yangu imebana basi utumbo nikamjibu poa.
Nikawa nimembebea naporudi nikapiga on kaja kufwata sasa nimefika home napumzika kidogo uku nashushia peps simu zimeezwa kupiga anachoongea cha maana sikioni.
Uthibitosho text izo bado anafosi niende jioni mimi msimamo nilio jiwekea siwezi tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa.
😂😂😂 ila mke wa mtu mtamu sana anamtukana hadi mumeweMwambie achunge sana watu wanatembea na mafuta ya kula 😀😀😀
Ahahahaha sifanyi upumbavuAchana nao
Wewe mlipie hela ya fundi wa Dstv upewe utamu
Noma sana mkuu 😅Ni 2011
Round hii Kuna jamaa walitumia yoghurt 😂 kama kilainishiMwambie achunge sana watu wanatembea na mafuta ya kula 😀😀😀
Me nimekaa zangu kimya, wala siongei tena. Nipo nasoma comments zenu [emoji28][emoji28][emoji28]
Naona sasa hivi ni driver mzuri!😅Ndio mkuu 😂😂😂
Maisha ya Uswazi yana raha zake bana...Hellow african,
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa change yake.
Niliporudi nikapiga on akaja nikamwambia fungua huko nyuma chukua mfuko mweupe akafurahi tukaagana nikasepa zangu wakati narudi tena sokoni nilisahau vitu muhimu kwahiyi sikuchukua muda nikarudi wakati narudi sasa akanisimamisha tena.
Unaenda wapi nikamjibu akaanza nimeona karoti na hoho nying si ungenichotea mimi nikajua utani nikamwambia ungesema nishashusha mzigo basi naomba uninunulie dagaa wa kukaanga nikamwambia poa.
Nilikuwa naongea na simu nyingine akanipa cm kuwa niandike namba nikamwandia nikasepa nikiwa sehemu nimetulia sasa napata supu nashangaa simu inaita namba ngeni nikamuuliza nani akasema oh basi nimeghairi nibebe nyama nusu nikamwambia bajet yangu imebana basi utumbo nikamjibu poa.
Nikawa nimembebea naporudi nikapiga on kaja kufwata sasa nimefika home napumzika kidogo uku nashushia peps simu zimeezwa kupiga anachoongea cha maana sikioni.
Uthibitosho text izo bado anafosi niende jioni mimi msimamo nilio jiwekea siwezi tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa.
Tuliokuwa tunawasoma kwenye majarida, sasa wameanza kujitokeza 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila we jamaa[emoji38][emoji38][emoji38]
'Kupiga on' ndio nini kwanza?Kwahiyo uliporudi ukapiga "on"?😅 njoo umsikilize kijana wako Lenie