Jirani anafosi nimle, mimi naona so

Jirani anafosi nimle, mimi naona so

Halaf mtaa gani huo unakutana kutana na watu ovyo kila saa😅

Em ahame uswazi
Alafu Mwanaume Unaendaje Sokoni Mara Oh Kaniagiza Nyanya Sijui Kitunguu Sijui Kasahau kanitumia nyama Tuweni Serious Kuna Muda Ili hata Ke Akitaka Kukupa Utamu anakupa Tuu Bila Wasi Hela utatoa mwenyewe
 
Kijana

Nakupa ushauri wa Bure, zingatia

Katika maisha yako usithubutu kutoka na jirani yako. Utility bill zote Zitakuwa juu yako!

Usithubutu kutoka na vibinti vya mtaani kwako, hutakuwa huru kwenye mambo yako ya mahusiano.

Staff mwenzio kazini, mfanyakazi wako, achana na hizi mambo kabisa. Ni full stress!

Asante!
 
Hellow african,

Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa change yake.

Niliporudi nikapiga on akaja nikamwambia fungua huko nyuma chukua mfuko mweupe akafurahi tukaagana nikasepa zangu wakati narudi tena sokoni nilisahau vitu muhimu kwahiyi sikuchukua muda nikarudi wakati narudi sasa akanisimamisha tena.

Unaenda wapi nikamjibu akaanza nimeona karoti na hoho nying si ungenichotea mimi nikajua utani nikamwambia ungesema nishashusha mzigo basi naomba uninunulie dagaa wa kukaanga nikamwambia poa.

Nilikuwa naongea na simu nyingine akanipa cm kuwa niandike namba nikamwandia nikasepa nikiwa sehemu nimetulia sasa napata supu nashangaa simu inaita namba ngeni nikamuuliza nani akasema oh basi nimeghairi nibebe nyama nusu nikamwambia bajet yangu imebana basi utumbo nikamjibu poa.

Nikawa nimembebea naporudi nikapiga on kaja kufwata sasa nimefika home napumzika kidogo uku nashushia peps simu zimeezwa kupiga anachoongea cha maana sikioni.

Uthibitosho text izo bado anafosi niende jioni mimi msimamo nilio jiwekea siwezi tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa.
Huyo demu inaonekana anabebea kibwebwe njaa zake. Usijitusu ukamla, utakua ndo unahudumia kila kitu kuanzia gesi, hela ya saluni, hela ya umeme. DON'T TRY IT.
Inaonekana ni wale mademu njaa njaa sana, kaa nae mbali sana.
 
Alafu Mwanaume Unaendaje Sokoni Mara Oh Kaniagiza Nyanya Sijui Kitunguu Sijui Kasahau kanitumia nyama Tuweni Serious Kuna Muda Ili hata Ke Akitaka Kukupa Utamu anakupa Tuu Bila Wasi Hela utatoa mwenyewe
Kwahiyo ukiwa single utakuwa unakula mgawani mpaka uoe?
 
Hellow african,

Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa change yake.

Niliporudi nikapiga on akaja nikamwambia fungua huko nyuma chukua mfuko mweupe akafurahi tukaagana nikasepa zangu wakati narudi tena sokoni nilisahau vitu muhimu kwahiyi sikuchukua muda nikarudi wakati narudi sasa akanisimamisha tena.

Unaenda wapi nikamjibu akaanza nimeona karoti na hoho nying si ungenichotea mimi nikajua utani nikamwambia ungesema nishashusha mzigo basi naomba uninunulie dagaa wa kukaanga nikamwambia poa.

Nilikuwa naongea na simu nyingine akanipa cm kuwa niandike namba nikamwandia nikasepa nikiwa sehemu nimetulia sasa napata supu nashangaa simu inaita namba ngeni nikamuuliza nani akasema oh basi nimeghairi nibebe nyama nusu nikamwambia bajet yangu imebana basi utumbo nikamjibu poa.

Nikawa nimembebea naporudi nikapiga on kaja kufwata sasa nimefika home napumzika kidogo uku nashushia peps simu zimeezwa kupiga anachoongea cha maana sikioni.

Uthibitosho text izo bado anafosi niende jioni mimi msimamo nilio jiwekea siwezi tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa.
Usije ukajidhania handsome, unapangwa ili upewe majukumu halafu utakuwa unapewa majukumu huku unanyanyasika
 
Back
Top Bottom