Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,231
- 22,494
Mpitie Lenie Kwanza!Sana ata wewe nakuendesha 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpitie Lenie Kwanza!Sana ata wewe nakuendesha 😂😂
Mimi siliwi na watoto wenyewe hawana usafi wa kina wanaviuchafu chafu mie siwezi pata fungus sorryIsijekuwa wewe ndo umemtuma mwanangu nyama na vocha😀
Wacha bwana!nikapiga on
Utanipa feedback🤣Naona umenichoka😂
Huyo kijana sio wa kumuamini ati
Au sioHellow african,
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa change yake.
Niliporudi nikapiga on akaja nikamwambia fungua huko nyuma chukua mfuko mweupe akafurahi tukaagana nikasepa zangu wakati narudi tena sokoni nilisahau vitu muhimu kwahiyi sikuchukua muda nikarudi wakati narudi sasa akanisimamisha tena.
Unaenda wapi nikamjibu akaanza nimeona karoti na hoho nying si ungenichotea mimi nikajua utani nikamwambia ungesema nishashusha mzigo basi naomba uninunulie dagaa wa kukaanga nikamwambia poa.
Nilikuwa naongea na simu nyingine akanipa cm kuwa niandike namba nikamwandia nikasepa nikiwa sehemu nimetulia sasa napata supu nashangaa simu inaita namba ngeni nikamuuliza nani akasema oh basi nimeghairi nibebe nyama nusu nikamwambia bajet yangu imebana basi utumbo nikamjibu poa.
Nikawa nimembebea naporudi nikapiga on kaja kufwata sasa nimefika home napumzika kidogo uku nashushia peps simu zimeezwa kupiga anachoongea cha maana sikioni.
Uthibitosho text izo bado anafosi niende jioni mimi msimamo nilio jiwekea siwezi tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa.
Sitathubutu 😂Utanipa feedback🤣
[emoji1787][emoji1787] damn!.WTF? wakati mwingine wanawake hawana makosa bali ni vijana wa kiume ndio wenye tatizo, kinachokuzuia kugonga na kuendelea na mambo yako au kupotezea ni kipi?? Hadi ulete hapa JF. Be a grown man. Stupid
Unamaanisha mkuu n mtoto?Mimi siliwi na watoto wenyewe hawana usafi wa kina wanaviuchafu chafu mie siwezi pata fungus sorry
Kafika 36 to 40??Unamaanisha mkuu n mtoto?
Haha haaaa haaa mtu mzima huyoo na kashakomaa idara zote
Huyo jirani ni kiburudisho cha mtaa usile kavu.Hellow african,
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa change yake.
Niliporudi nikapiga on akaja nikamwambia fungua huko nyuma chukua mfuko mweupe akafurahi tukaagana nikasepa zangu wakati narudi tena sokoni nilisahau vitu muhimu kwahiyi sikuchukua muda nikarudi wakati narudi sasa akanisimamisha tena.
Unaenda wapi nikamjibu akaanza nimeona karoti na hoho nying si ungenichotea mimi nikajua utani nikamwambia ungesema nishashusha mzigo basi naomba uninunulie dagaa wa kukaanga nikamwambia poa.
Nilikuwa naongea na simu nyingine akanipa cm kuwa niandike namba nikamwandia nikasepa nikiwa sehemu nimetulia sasa napata supu nashangaa simu inaita namba ngeni nikamuuliza nani akasema oh basi nimeghairi nibebe nyama nusu nikamwambia bajet yangu imebana basi utumbo nikamjibu poa.
Nikawa nimembebea naporudi nikapiga on kaja kufwata sasa nimefika home napumzika kidogo uku nashushia peps simu zimeezwa kupiga anachoongea cha maana sikioni.
Uthibitosho text izo bado anafosi niende jioni mimi msimamo nilio jiwekea siwezi tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa.
Una akili ww 😋😋😋 mpaka rahaHuyo jirani ni kiburudisho cha mtaa usile kavu.
Kuna muda zinachoropoka😁😁😁Una akili ww 😋😋😋 mpaka raha
Daaaah hamna bwana umeongea uhalisia na ukweli, sio kila dume angeweza kufikiri hivyo mkuuu 😅😅😉😎Kuna muda zinachoropoka😁😁😁