Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wewe unataka mbunye japo unavungavunga na yeye anataka pesa...Wewe na uyo manzi ni pipa na mfuniko, maana yake nn mkuu samahani lkn
Kuna kila dalili huo wembe utamjeruhi yeye, sio kwa mizinga hiyo.Mtoto akitaka wembe unampa bhana!
πππHaya sawaDaaaah hamna bwana umeongea uhalisia na ukweli, sio kila dume angeweza kufikiri hivyo mkuuu π π ππ
Ivi .... hili neno ππON ...ndo niniMkuu upo kama mm nina majirani zangu hapa wote tupo bachelor sasa wananitoshaga mm sinaga mpango nao mtaa ninaokaa naiheshimu mambo yangu ya kijinga nafanyiaga huko mbali tu
Nimecheka sanaNimeishia tu ulipopiga ON
Uyo uyo baba πIsijekuwa wewe ndo umemtuma mwanangu nyama na vochaπ
Kwamba nitakuamgusha πππNaona umenichokaπ
Huyo kijana sio wa kumuamini ati
Wewe mbea wewe πππWacha bwana!
Tena mwambie babia imekomaaa sana ππUnamaanisha mkuu n mtoto?
Haha haaaa haaa mtu mzima huyoo na kashakomaa idara zote
πππ anapiga simu kama chiziMkuu upo kama mm nina majirani zangu hapa wote tupo bachelor sasa wananitoshaga mm sinaga mpango nao mtaa ninaokaa naiheshimu mambo yangu ya kijinga nafanyiaga huko mbali tu
Hellow african,
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa change yake.
Niliporudi nikapiga on akaja nikamwambia fungua huko nyuma chukua mfuko mweupe akafurahi tukaagana nikasepa zangu wakati narudi tena sokoni nilisahau vitu muhimu kwahiyi sikuchukua muda nikarudi wakati narudi sasa akanisimamisha tena.
Unaenda wapi nikamjibu akaanza nimeona karoti na hoho nying si ungenichotea mimi nikajua utani nikamwambia ungesema nishashusha mzigo basi naomba uninunulie dagaa wa kukaanga nikamwambia poa.
Nilikuwa naongea na simu nyingine akanipa cm kuwa niandike namba nikamwandia nikasepa nikiwa sehemu nimetulia sasa napata supu nashangaa simu inaita namba ngeni nikamuuliza nani akasema oh basi nimeghairi nibebe nyama nusu nikamwambia bajet yangu imebana basi utumbo nikamjibu poa.
Nikawa nimembebea naporudi nikapiga on kaja kufwata sasa nimefika home napumzika kidogo uku nashushia peps simu zimeezwa kupiga anachoongea cha maana sikioni.
Uthibitosho text izo bado anafosi niende jioni mimi msimamo nilio jiwekea siwezi tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa.
Wee sikuamini hataKwamba nitakuamgusha πππ
Ahahaha umeona eeeWee kweli John Walker
Nitanenda polepole aseWee sikuamini hata