Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Mbona rahisi tu nunua KVant namba yao itakuwepo imebandika, tena una uhakika hela yako inarudi na kupata maokotoNisaidie contact zao tafadhali,sina roho mbaya nae,kinachokera ni kelele na usumbufu anaotusababishia majirani kwa shughuli zake zisizo halali,kwa nini asiende kuifanyia mahali ambako hatakuwa kero kwa wengine??