Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Sanaa yaani,very sad,!matibabu yenyewe ni ghali sana jamaniWatu wengi Sana wanatengeneza pombe fake ndomana wagonjwa wa Figo wamekuwa wengi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanaa yaani,very sad,!matibabu yenyewe ni ghali sana jamaniWatu wengi Sana wanatengeneza pombe fake ndomana wagonjwa wa Figo wamekuwa wengi sana
Mbona hamzigusi energy drinks?Watu wengi Sana wanatengeneza pombe fake ndomana wagonjwa wa Figo wamekuwa wengi sana
Energy drinks ziko sawa...Mbona hamzigusi energy drinks?
Unafiki tuu..
Mpaka sasa ushamlipotiNi nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
AiseeNi nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Ila yeye kulisha watu sumu anawatendea haki?Anzia Kwa barozi wa nyumba kumi, apewe onyo ......ukienda polisi utakuwa haujamtendea haki
Ah mm hizo mama situmii kabisa. Toka nilvyoshauriwa kuachana na matukiz ya spirit kwa ulevi na dokta wangu nimeacha kabisa. Na wiki ijayo namrudia mungu mazima. Mada za kijingajinga jf hawanioniUkitaka kujua feki juu ya mfuniko haina nembo,wenyewe ni plain
Kupiga pesa za serikali ambazo zingesaidia kununua madawa hospitali na kujenga vituo vya afya sio kuchezea maisha ya watu?Dada fisadi hagusi figo ya mtu,huyu anachezea maini na figo za watu...apige feki vitu visivyogusa uhai aone kama kuna kelele zote...Hapa tunaongelea uhai na kifo
Sasa unajua kuna watu hawana uwezo wa kununua panado bado unashadadia watu wanaochezea uhai wa watu na kuwaimbia nyimbo za kuwatukuza kwamba ni wajanja, wasifanyiwe umbea waachwe wapige hela,imagine kununua panado ni kisanga je kufanya dialysis itakuwaje,,,hebu try to be seriousKupiga pesa za serikali ambazo zingesaidia kununua madawa hospitali na kujenga vituo vya afya sio kuchezea maisha ya watu?
Kuna watu hawana uwezo hata wa kununua panadol
Mda wa kujibizana na mtu kama huyu unatoa wapi?Sasa unajua kuna watu hawana uwezo wa kununua panado bado unashadadia watu wanaochezea uhai wa watu na kuwaimbia nyimbo za kuwatukuza kwamba ni wajanja, wasifanyiwe umbea waachwe wapige hela,imagine kununua panado ni kisanga je kufanya dialysis itakuwaje,,,hebu try to be serious
Good...spirit kwa kweli zimekuwa sio rafiki tena kwa ajili ya hao wapiga copy...Mungu akupe kusimama hapo utapomrudiaAh mm hizo mama situmii kabisa. Toka nilvyoshauriwa kuachana na matukiz ya spirit kwa ulevi na dokta wangu nimeacha kabisa. Na wiki ijayo namrudia mungu mazima. Mada za kijingajinga jf hawanioni
Sasa unajua kuna watu hawana uwezo wa kununua panado bado unashadadia watu wanaochezea uhai wa watu na kuwaimbia nyimbo za kuwatukuza kwamba ni wajanja, wasifanyiwe umbea waachwe wapige hela,imagine kununua panado ni kisanga je kufanya dialysis itakuwaje,,,hebu try to be serious
Endelea kunywa matakataka.Haina shida.Ole wenu muombe rambirambi.Mjinga wewe,wenzako ccm wanakula maini ya swala na minofu ya sangara ndo hawafi.sembuse gongo??acha unoko
Yaani hata sijui kwa nini namjibuMda wa kujibizana na mtu kama huyu unatoa wapi?
Bye Bye.Kushadadia ndiyo nini? Nilichokisema nimekisema tuache umbea katika maisha ya watu.
Kama umekwazika pole, bye!!!!