Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kiherehere ..kwan hata k Vant og ina vitamin gani?Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
K vant og ndio haichomi figo ?Kwa niaba ya walevi wote wa vitu vikali tunakuta ukamripoti haraka sana kwa watengeneza K Vant original na zawadi watakupa kama shukrani
Ukitipoti polisi au kwa mjumbe sijui watahongwa na watapiga kimya
Hii itasaidia kwa kiasi fulani kuokoa figo zetu kwa mavinywaji fake kama haya
Nawasilisha
Balozi wa nyumba 10 ana madaraka gani na imeandikwa wapi kwenye katiba ya Nchi?Anzia Kwa barozi wa nyumba kumi, apewe onyo ......ukienda polisi utakuwa haujamtendea haki
Kwa Vincenzo JrNi nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
😁😂😁😁 Dizasta vina Karibu duniani 😂😁
😂😂😂😂 Take material on TOP SHELF hapo...😁😂😁😁 Dizasta vina Karibu duniani 😂😁
Kama Kodi nayolipa inaenda Kwa Yanga wakati najinyima Ili niwe mzalendo kumbe ujinga tu ACHA mwamba apige Hela Sasa hivi nikipata dili haramu napigaNi nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Kabisa kaka😂😂😂😂 Take material on TOP SHELF hapo...
Alafu mbaya zaidi unaenda kuripoti , uliyemripoti anapenyezewa taarifa kuwa umemchoma😅😅😅Huko unatokata kwenda kuripoti unaweza kukuta anapeleka fungu.
Nchi hii imeshaoza kabisa.
Ila kama unataka kujaribu. Anzia kwa Afisa Afya (Bwana/Bibi Afya) wa eneo lako, au fika ofisi za mganga kuu wa Manispaa, onana na Afisa Afya wa Manispaa.
Na kwakuwa, uko karibu na ofisi za Kanda fika ofisi za TBS Ubungo. Au piga simu.
Au njia rahisi ni kumchoma kwa KVANT ORIGINAL wao watadeal naye kwasababu anavuruga maslahi yao, tena hata zawadi wanaweza kukupa
Sijawah kuona mkerewe mwenye roho nzrNi nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Wivu tu wa maendeleo!Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisheki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Fcc na mamlaka ya chakula na dawa.Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Wivu?Aisee!Huyo mwenye kiwanda bubu ni mtengeneza sumu.Anauza sumu wewe unadai anaonewa wivu?Salamualeku walahi!🤔Wivu tu wa maendeleo!
Acha wivu asee na wewe zalisha konyagi feki kama rahisiNi nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Ndio hivyo.Alafu mbaya zaidi unaenda kuripoti , uliyemripoti anapenyezewa taarifa kuwa umemchoma😅😅😅
Mripoti TFMDA mkuu. Ukimpeleka polisi utakuwa umeenda kuwatajirisha.Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Hao wapuuzi wanaharibu sana bidhaa za watu kwani wanaingiza pombe feki mtaani na matokeo yake zinaua figo za wanywaji.
Naomba umchunguze vizuri inawezekana anatengeneza vinywaji vya aina nyingi ikiwepo SmartGin maarufu kisungura .
Ukigundua anatengeneza na Smart Gin please usisite kuwasiliana na uongozi