Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

Status
Not open for further replies.
Nisaidie contact zao tafadhali,sina roho mbaya nae,kinachokera ni kelele na usumbufu anaotusababishia majirani kwa shughuli zake zisizo halali,kwa nini asiende kuifanyia mahali ambako hatakuwa kero kwa wengine??
Mbona rahisi tu nunua KVant namba yao itakuwepo imebandika, tena una uhakika hela yako inarudi na kupata maokoto
 
Acha unoko ndugu..

Nchi yenyewe ina ufeki kila mahali, siasa feki, maisha feki, serikali yenyewe ina viongozi wenye ufeki mwingi..

Acha mwamba alishe familia yake..
Tatizo anaua familia za wengine na kvant zake za jiki
 
Achana nae!huyo ni mkemia ambaye serikali haimjali!

ACHA aendeleze kipaji chake!

Gongo na matapu tapu yapo sana mtaani lakini ni mara chache watu.wamekufa ghafla!

KAZI iendelee!
 
Kwq vile uelewa wako umefikia hapo kikomo sina cha kuongeza.
 
Ila jf bana yaani jamaa kaja kiungwana ila anavyopopolewa sasa. Lol
Katika Dunia ya sasa ni bora mtu uwe busy na mambo yako.

Mtu yoyote anaekuharibia sehemu yako ya ridhki sio wa kumsamehe kwa gharama yoyote ile.
 
Hizi nguvu tunazotumia kuwachoma maskini wenzetu tungezipeleka kupambana na Mafisadi.
 
Hizi nguvu tunazotumia kuwachoma maskini wenzetu tungezipeleka kupambana na Mafisadi.
Dada fisadi hagusi figo ya mtu,huyu anachezea maini na figo za watu...apige feki vitu visivyogusa uhai aone kama kuna kelele zote...Hapa tunaongelea uhai na kifo
 
Acha 'Ukuda' fanya na jali yako.
 
Nicheki inbox
 
Kareport ofisi ya TRA ya mkoa
 
Nchi fake too,ukiripoti jipange kusemwa na uliempa report 🤣🤣kifuatachooo utafurahi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…