Jirani kalisahau wowowo lake nje

kampa sana pressure mke wangu huyu..akipita lazima nimtazame [emoji23]
Hahahaaa. Mpe pole Mkeo jamaani ila ndio ukamwambie kwamba huyo dada hana lolote zaidi ya kujaladia hivyo apunguze presha.

Ila wanaume nyie hapana kwa kweli lol. Nimekaa najiwazia sidhani kama akitembea linatikisika hilo dude ila ndio wenyewe mnavunjaa shingo zenu hatari.
 
Analiwezea huyu dada akitembea anapishanisha miguu kama kim kardashian...zinatenge curve moja matata
 
Hahahaaa. Na kweli hapo angemuweza hasa na sipati picha weweseko ambalo angekuwa nalo.

Maana angejing'ata ng'ata hasaaa.
Tatizo siku hizi simu za kisasa zimetufanya tuwe wepesi kuchukua picha au clip ya tukio kuliko kulihoji kwa undani zaidi tukio husika.

Hapo angemuweza sana na angeona aibu sana.

Ila nampongeza Hazard cfc kutomuuliza maana pangenuka hapo mtaani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…