Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mkuu siku nyingine kausha bana,yaani nimecheka Niko na majamaa ya hapa yamenishangaa,sasa wowowo lililowana au ilikuaje likaanikwa?Mnamabalaa nyie...bumunda linaumuka haswa
Hahaaa. Umeonaeeee.Nawaza tu hapo ana mtoko alafu hazard alipitie aliweke ndani kwake ..hahahaahha..huyo Dada yuko kughahiri safari Dada angu
Hahah we Thad umepajua je huko nyumban?Njoo uchukue wowowo lako nimeliokota hapa njia panda ya Himo [emoji12]
Kwann mkuu?Mleta Mada huna adabu ujue
Alilitoa mda ule ule...yan kacheza kama messi kwasababu niliingia ndan kutoka halipoPoa Shem...vipi jirani mwenye booty lake ameshalianua?
Siku moja moja unatakiwa wayatoe yapunge upepoMkuu siku nyingine kausha bana,yaani nimecheka Niko na majamaa ya hapa yamenishangaa,sasa wowowo lililowana au ilikuaje likaanikwa?
Na yy kwann aaanike nje lkn?
Umeleta nguo/kiungo cha ndani cha Jirani yakoKwann mkuu?
Jirani yako katishaSiku moja moja unatakiwa wayatoe yapunge upepo
Hahahaha ila tujipongeze wanawake kwa ujasiri kama huo ili tu kuridhisha wanaume.Hahaaa. Umeonaeeee.
Ni kweli kabisa usemalo mdogo wangu. Asingetoka nje mpaka apate jipya.
Aiyaaaa!! Na sidhani kama lilikaukaAlilitoa mda ule ule...yan kacheza kama messi kwasababu niliingia ndan kutoka halipo
Utakuwa umemkomesha kwakweliHahaha, liibe mkuu kama mtu hajakaa ndani mwezi mzima akinya hukohuko, kula hukohuko na mambo mengine hukohuko [emoji23]
Atalikausha na handdrayer zileAiyaaaa!! Na sidhani kama lilikauka
Hahah hizo safi sana...hivi vitambi vya lager vinazinguaNasikia kuna six pack pia siku hizi zinauzwa!
Najipanga nikachukue,mazoezi yamenishinda
HaahhahahaNasikia kuna six pack pia siku hizi zinauzwa!
Najipanga nikachukue,mazoezi yamenishinda
Katishaa sana huyu dadaKawakomesha
Haaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nibaki na flatscreen yangu woiii