Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Good morning!
Weekend yangu jirani yangu aliniharibia sana Ijumaa jioni nilimpokea mgeni wangu kutoka Mbeya huko kijiji cha Galula ambaye ni uncle wangu, kaja kunisalimia nilifurahi sana maana ni siku nyingi lakini pia watu wa kijijini wakija mjini hawaji mikono mitupu.
Kesho yake Jumamosi nikadamka mapema sana kutafuta kuku wa kienyeji mgeni asubuhi anywe supu apunguze uchovu wa safari, nikarudi na kuku wangu nikamchemsha kaiva good sana nikaenda nunua chapati.
Nikawa nimemuandalia mezani sasa hajazoea meza, akasema mjomba niwekee njee bhna huku kwenu joto kuweka nje si mgeni anakula nikasikia ghafla salamu zinaendelea nikawa nachungulia dirisha mjomba si akamwambia jirani karibu bila aibu akachukua kidali ase nilimfokea sana halafu hata hajali kaenda kwake kula vizuri.