Jirani kaniudhi sana siku ya Jumamosi

Jirani kaniudhi sana siku ya Jumamosi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Good morning!

Weekend yangu jirani yangu aliniharibia sana Ijumaa jioni nilimpokea mgeni wangu kutoka Mbeya huko kijiji cha Galula ambaye ni uncle wangu, kaja kunisalimia nilifurahi sana maana ni siku nyingi lakini pia watu wa kijijini wakija mjini hawaji mikono mitupu.

Kesho yake Jumamosi nikadamka mapema sana kutafuta kuku wa kienyeji mgeni asubuhi anywe supu apunguze uchovu wa safari, nikarudi na kuku wangu nikamchemsha kaiva good sana nikaenda nunua chapati.

Nikawa nimemuandalia mezani sasa hajazoea meza, akasema mjomba niwekee njee bhna huku kwenu joto kuweka nje si mgeni anakula nikasikia ghafla salamu zinaendelea nikawa nachungulia dirisha mjomba si akamwambia jirani karibu bila aibu akachukua kidali ase nilimfokea sana halafu hata hajali kaenda kwake kula vizuri.
 
Kuna jamaa umenikumbusha, akiwa anakula nyama anakwambia kula mjomba hulu anakutengeaa minovu mikubwa kubwa kumbe ungejuwa anavyoumia siyo poa, jamaaa ni mlavi wa nyama Sana anapaparikia nyama kinoma.

Sasa wakati unakula unashanga amekamata tena zile alizo kutengea wewe huyo kipind anakuambia kula kula mjomba" inakuta amemaliza za/ kwake haweZi kula taratibu kwa hyo anakamTa zile zako chapu zimeisha zote mnk hyo speed anayo hilia siyo kidg, mwisho unajikuta umekula tunyama visiwil tu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa umenikumbusha ,akiwa ana kula nyama abakuambia kula mjomba Hulu anakutengeaa minovu mikubwa kubwa kumbe ungejuwa anavyo umia siyo POA ,jamaaa Ni mlavi wa nyama Sana anapaparikia nyama kinomaaa


SAS wakt unakula unashanga amekamata Tena zile alizo kutengea wew hyo kipind anakuambia kula kula mjomba" inakuta amemaliza za:-\ kwake haweZi kula taratibu kwa hyo anakamTa zile zako chapu zimeisha zote mnk hyo speed anayo hilia siyo kidg ,mwisho unajikuta umekula tunyama visiwil tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uyo sasa wakimnyoosha
 
Good morng

Weekend yangu jirani yangu alinihalibia sana ijumaa jioni nilimpokea mgeni wangu kutoka mbeya uko kijiji cha galula ambeye ni uncle wangu, kaja kunisalimia nilifurahi sana maana ni siku nyingi lakini pia watu wakijijin wakija mjini hawaji mikono mitupu,

Kesho yake juma mosi nikadamka mapema sana kutafuta kuku wakienyeji mgeni asubuhi anywe supu apunguze uchovu wa safari, nikaludi na kuku wangu nikamchemsha kaiva good sana nikaenda nunua chapati.

Nikawa nimemuandalia mezani sasa hajazoea mezana kasema mjomba niwekee njee bhna uku kwenu joto kuweka njee si mgeni anakula nikasikia gafla salamu zina endelea nikawa nachumgulia dirisha mjomba si akamwambia jirani karibu bila aibu akachukua kidali ase nilimfokea sana af ata hajari kaenda kwake kula vizuri
Sasa shida hapo ikowapi. Ila mkuu una roho ya uchoyo
 
Back
Top Bottom