Jirani kaniudhi sana siku ya Jumamosi

Jirani kaniudhi sana siku ya Jumamosi

S
Jirani sio mstaarabu na humu wenye tabia kama za jirani wa mtoa mada hamna ustaarabu. Chakula ameandaliwa mgeni unakaribishwa na mgeni hata huvungi. Huo uroho na sio ustaarabu kabisa.

Sio kila ukiambiwa karibu basi ukaribie chaaaa
af kabisa kunywa soda nakulipiap
 
Wewe bado haujaelewa kumbe. Yaani huyu mleta uzi alichoandika hapa ni tabia ya ulafi ya huyo jirani yake ambaye amejipendekeza kwa mgeni na kuchukua Kidali cha nyama ya kuku. Sijui unaelewa lakini kuwa kidali huwa ni kipande kikubwa sana?,
Ok. Nahisi mnafahamiana vyema.
J2 njema mkuu.
 
Sasa kwanini na wewe ukaribishe watu kinafiki? Kama hutaki kaa kimya ueleweke.

Back
Top Bottom