Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Huo ukuta utengenezee namna siku udodonke usiku uuwe hao ng'ombe wakeHabari za leo?
Kuna jirani yangu hapa mtaani anafuga ng'ombe. Kawajengea banda kwenye ukuta wa fensi niliojenga mimi na anajaza kifusi cha mavi ya ng'ombe kwenye ukuta huo na kupelekea harufu kali kwa upande wangu hasa kwenye madirisha ya nyumbani.
Naomba mbinu nzuri ya kumtia adabu iwe ya kisheria au ya kibabe. Maana haya maeneo yamepimwa kwa ajili ya makazi na sio ufugaji wa ng'ombe.
Tulishamwambia awe mstaarabu kwa kutokurundika mavi mengi ya ng'ombe na kuleta kero kwetu, tunaona analeta dharau, sasa nimeamua ubaya ubaya liwalo na liwe.
Asanteni.
....Halafu unajikuta huna tena pa kwenda ili kumkwepa....Ukiishi na jirani mkorofi utajuta kuishi hapo.
Kuna matukio yakitokea unaweza kujiuliza yametokeaje maana unaona kama lingeweza kuepukika lakini siku yakikukuta unastukia tu tayari umeshafanya jambo baya halafu unabaki kujuta,kuna watu wanakera sana.....Halafu unajikuta huna tena pa kwenda ili kumkwepa....
Mtu umejibana wee umenumua kiwanja na umejenga kibanda chako halafu unakutana na majirani pasua kichwa...
Kama ukuta wako ni wa matofali ya (block), wewe ondoa matofali yako yote.Habari za leo?
Kuna jirani yangu hapa mtaani anafuga ng'ombe. Kawajengea banda kwenye ukuta wa fensi niliojenga mimi na anajaza kifusi cha mavi ya ng'ombe kwenye ukuta huo na kupelekea harufu kali kwa upande wangu hasa kwenye madirisha ya nyumbani.
Naomba mbinu nzuri ya kumtia adabu iwe ya kisheria au ya kibabe. Maana haya maeneo yamepimwa kwa ajili ya makazi na sio ufugaji wa ng'ombe.
Tulishamwambia awe mstaarabu kwa kutokurundika mavi mengi ya ng'ombe na kuleta kero kwetu, tunaona analeta dharau, sasa nimeamua ubaya ubaya liwalo na liwe.
Asanteni.
Daah unatoa ushauri aue ng'ombe kisa ugomvi wenu ushauri wa kiboya sana huu...Huo ukuta utengenezee namna siku udodonke usiku uuwe hao ng'ombe wake
Alafu asubuhi anza kumlaumu kwanini anafugia ng'ombe kwenye ukuta wako alafu mwambie ona sasa mifugo yako imedondosha ukuta na imekufa .
Mwisho mpe pole kwa yaliyotokea atakuwa kajifunza
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mkuu Isanga family karibu City pub nipo najiandaa kuianza weekendDaah unatoa ushauri aue ng'ombe kisa ugomvi wenu ushauri wa kiboya sana huu...
Nakushauri mpuuze ,endelea na maisha Yako.Habari za leo?
Kuna jirani yangu hapa mtaani anafuga ng'ombe. Kawajengea banda kwenye ukuta wa fensi niliojenga mimi na anajaza kifusi cha mavi ya ng'ombe kwenye ukuta huo na kupelekea harufu kali kwa upande wangu hasa kwenye madirisha ya nyumbani.
Naomba mbinu nzuri ya kumtia adabu iwe ya kisheria au ya kibabe. Maana haya maeneo yamepimwa kwa ajili ya makazi na sio ufugaji wa ng'ombe.
Tulishamwambia awe mstaarabu kwa kutokurundika mavi mengi ya ng'ombe na kuleta kero kwetu, tunaona analeta dharau, sasa nimeamua ubaya ubaya liwalo na liwe.
Asanteni.
SanaKuna watu ni wakorofi na kuna watu hawana common sense,
We fikiria viwanja vya 20x20 mtu anapanda muembe tena Mpakani, yani kuna majirani tabu sana
Nipo Chuga Mkuu karibu huku hapo pana Sinia la wali na Kuku lina balaa sana...Mkuu Isanga family karibu City pub nipo najiandaa kuianza weekend
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hakika wewe ndiye mbongoHuo ukuta utengenezee namna siku udodonke usiku uuwe hao ng'ombe wake
Alafu asubuhi anza kumlaumu kwanini anafugia ng'ombe kwenye ukuta wako alafu mwambie ona sasa mifugo yako imedondosha ukuta na imekufa .
Mwisho mpe pole kwa yaliyotokea atakuwa kajifunza
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hahahaha kusafisha zizi tena! Huu ushauri hapana aisee.Ongea na madereva wa kirikuu ni wataalamu sana wa kuiba ndama watasafisha hilo zizi
The neighbor from hell. Seek some legal help and approaches to tackle that problem by inviting mwenyekiti and other local jurisdictions.Habari za leo?