Pole sana jirani yake. Mimi na majirani wengine tulikuwa na jirani anafuga kuku. Wewe hiyo harufu tulishindwa kuvumilia.Tulimsihi awahamishe kuku maana mjini hapafai kufuga hao wanyama, akapotezea ndo tukaenda kwa mjumbe. Kesho yake kuku wote walihamishiwa Shamba huko Bagamoyo kitu kama hicho.
Fanya hivyo na wewe na upate kuungwa mkono na majirani wengine utafanikiwa. kufanya uhalifu kama wachangiaji wengine wanavyokushauri unajipalia mkaa.
Goodluck.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.