HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Uchome moto huo mtiHii kero ya kupanda miti ya kudumu mpakan na mimi imenikumba lakini ukimuelewesha anakuwa mkali zaidi ya pilipili kichaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchome moto huo mtiHii kero ya kupanda miti ya kudumu mpakan na mimi imenikumba lakini ukimuelewesha anakuwa mkali zaidi ya pilipili kichaa.
Mkuu, mimi ni wakili wa kujitegemea, ninachokuwambia ni kwa mtazamo wa sheria, ukuta wa kushea unapaswa kujengwa kwa makubaliano. Ukiamua kujenga bila makubaliano basi ujue kuna baadhi ya haki utazipoteza na hutaweza mlalamikia jirani yako kwa kufanya atakavyo na huo ukuta. Na huwezi kumsubiria mtu asietaka ushirikiano, utajenga tu ila ndio hivyo haikupi umiliki wa peke yako.Sasa kama jirani anakwambia sina pesa wala sina mpango wa kujenga ukuta na mm ningeacha kujenga ukuta?
Mkuu umeshawahi kujenga nyumba yenye fensi?
Yaani kujenga ukuta hadi kuandikishana na jirani sijawahi kuona tangu kuzaliwa kwangu..
Yani hata akikuona upo hapo jirani tu anawaka.Uchome moto huo mti
Nlikua upande wako tangu mwanzo, Ila baada ya kubaini umejenga mpakani acha akufundishe kwa vitendo kama hivyo, Unastahili.Ulitaka nijenge katikati ya kiwanja?
Yani ng'ombe wapate madhara, itasaidia nini?!Lisha mfukonwa rambo.
Ndani ya mfuko utoboe matundu madogodogo weka ugali dona lililolala alafu watupie uone 😂 🤣!.Lisha mfukonwa rambo.
Asante kwa maelezo yako.Mkuu, mimi ni wakili wa kujitegemea, ninachokuwambia ni kwa mtazamo wa sheria, ukuta wa kushea unapaswa kujengwa kwa makubaliano. Ukiamua kujenga bila makubaliano basi ujue kuna baadhi ya haki utazipoteza na hutaweza mlalamikia jirani yako kwa kufanya atakavyo na huo ukuta. Na huwezi kumsubiria mtu asietaka ushirikiano, utajenga tu ila ndio hivyo haikupi umiliki wa peke yako.
Na ni sahihi kutokujua kila kitu, ndio maana waswahili wakasema, Kua uyaone. Upo sawa kwa kutowahi kuona makubaliano ya kujenga ukuta.
Hebu Google Shared Wall Fence Agreement au Fence Line Agreement uone mifano ya mikataba hiyo.
Mm nitafuga nguruwe nitaanza na wanne na yeye ni ustaadhi swala 5 itajulikana tu.Nlikua upande wako tangu mwanzo, Ila baada ya kubaini umejenga mpakani acha akufundishe kwa vitendo kama hivyo, Unastahili.
Mkuu, uliomba ushauri wa kisheria na wa kimtaa. Natumai kwa sasa umejifunza, utawaelimisha wengine na pia hata wewe mwenyewe siku nyingine utafanya kwa kushirikiana au kwa kutoshirikiana ila ukiwa unajua kuwa ukuta utakua ni mali yenu wote wawili.Asante kwa maelezo yako.
Ila hayo makubaliano ya kujenga ukuta kwa kushirikiana sijawahi kuyaona katika mazingira yangu.
Labda huko ulipo wakili msomi na dunia ya pili na ya kwanza.
Nguruwe ukimshika mkia halii.,Kuna mama mmoja jirani yangu alikuwa anafunga nguruwe alikuwa nao wengi kweli kama 40 hivi, walikuwa kero vibaya sana, siku moja akaamka asubuh akakuta hakuna hata nguruwe mmoja ndani ya banda... sijui wale nguruwe walitolewa je kwenye yale mabanda bila mtu kushtukizia
Hahaha umetisha,Mm nitafuga nguruwe nitaanza na wanne na yeye ni ustaadhi swala 5 itajulikana tu.
Pia mm nina nyumba nyingine hii niyayoishi naweza kugeuza shamba darasa la kufuga nguruwe tu.
Atajua hajui))
Tuombeane nitaleta mrejesho siku za usoni.
hiyo sheria ya wapi!? ninyi ndio mawakili vilaza, mtu akijenga ukuta kwenye eneo lake na sio mpakani je!? utasema hana umiliki!?Mkuu, mimi ni wakili wa kujitegemea, ninachokuwambia ni kwa mtazamo wa sheria, ukuta wa kushea unapaswa kujengwa kwa makubaliano. Ukiamua kujenga bila makubaliano basi ujue kuna baadhi ya haki utazipoteza na hutaweza mlalamikia jirani yako kwa kufanya atakavyo na huo ukuta. Na huwezi kumsubiria mtu asietaka ushirikiano, utajenga tu ila ndio hivyo haikupi umiliki wa peke yako.
Na ni sahihi kutokujua kila kitu, ndio maana waswahili wakasema, Kua uyaone. Upo sawa kwa kutowahi kuona makubaliano ya kujenga ukuta.
Hebu Google Shared Wall Fence Agreement au Fence Line Agreement uone mifano ya mikataba hiyo.
Ila kuna watu mnapenda ugomvi, anakofugia si ni kwake? Kwa hiyo unataka kumpangia matumizi ya kiwanja chake? Kikubwa acha ubabe nenda ushitaki NEMC ndio waje waongee naye wewe hutamweza maana anafugia kwake!Habari za leo?
Kuna jirani yangu hapa mtaani anafuga ng'ombe. Kawajengea banda kwenye ukuta wa fensi niliojenga mimi na anajaza kifusi cha mavi ya ng'ombe kwenye ukuta huo na kupelekea harufu kali kwa upande wangu hasa kwenye madirisha ya nyumbani.
Naomba mbinu nzuri ya kumtia adabu iwe ya kisheria au ya kibabe. Maana haya maeneo yamepimwa kwa ajili ya makazi na sio ufugaji wa ng'ombe.
Tulishamwambia awe mstaarabu kwa kutokurundika mavi mengi ya ng'ombe na kuleta kero kwetu, tunaona analeta dharau, sasa nimeamua ubaya ubaya liwalo na liwe.
Asanteni.
Sasa hapo shida nini? Maembe yanayozaliwa upande wako si ni ya kwako hayo? Hata kwangu mwombe wangu umeingia kwa jirani na tumeshakubaliana kabisa sitagusa yale yalizaliwa upande wake! Na yeye kuna michungwa na mipera imeingia kwangu hivyo nakula yaliyozaliwa upande wangu! Na huwa napiga dawa kabisa na yanazaa hatari kabisa upande wangu!Kuna watu ni wakorofi na kuna watu hawana common sense,
We fikiria viwanja vya 20x20 mtu anapanda muembe tena Mpakani, yani kuna majirani tabu sana
Unamtafutia kesi ya jinai huyo ndugu yako! Maafisa mifugo hawatamwacha salama lazima atakuwa na kesi ya kujibu!Dawa ni kutafuta nyasi kilo moja na sumu ya panya, lowesha hizo nyasi kwa sumu ya panya kwa muda wa saa 2½ kisha vizia usiku tupia vifurushi vya nyasi kwa upande wake.
Asubuhi utapata mrejesho.
Baada ya wiki hiyo kero itakuwa imeisha na utabaki na Amani tele.
Mkuu, nina mpera unatoa mapera makubwa sana. Tatizo ni kuwa karibu yote yanakua yana wadudu (funza). Awali, uzao wa kwanza na wa pili yalikua safi kabisa. Unakua ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani kutibu?Sasa hapo shida nini? Maembe yanayozaliwa upande wako si ni ya kwako hayo? Hata kwangu mwombe wangu umeingia kwa jirani na tumeshakubaliana kabisa sitagusa yale yalizaliwa upande wake! Na yeye kuna michungwa na mipera imeingia kwangu hivyo nakula yaliyozaliwa upande wangu! Na huwa napiga dawa kabisa na yanazaa hatari kabisa upande wangu!