sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Unauliza swali kwa 'kilaza', utakubaliana na jibu litakalotolewa??hiyo sheria ya wapi!? ninyi ndio mawakili vilaza, mtu akijenga ukuta kwenye eneo lake na sio mpakani je!? utasema hana umiliki!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza swali kwa 'kilaza', utakubaliana na jibu litakalotolewa??hiyo sheria ya wapi!? ninyi ndio mawakili vilaza, mtu akijenga ukuta kwenye eneo lake na sio mpakani je!? utasema hana umiliki!?
Pulizia dawa za kuua wadudu shambani (pesticides). Ulizia bwana shamba aliyeko karibu nawe akusaidie dawa nzuri inayopatikana maeno uliyopo! Yanapokaribia kuanza kutoa maua anza kupiga dawa pia changanya na dawa ya ukungu kula unapopulizia. Na huo mpera wa jirani yangu yalikuwa yanaoza ule upande wake, ikabidi anishirikishe! Sasa hivi nikipulizia ule upande wangu na kwake nampigia dawa!Mkuu, nina mpera unatoa mapera makubwa sana. Tatizo ni kuwa karibu yote yanakua yana wadudu (funza). Awali, uzao wa kwanza na wa pili yalikua safi kabisa. Unakua ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani kutibu?
Nyie mpo vizuriSasa hapo shida nini? Maembe yanayozaliwa upande wako si ni ya kwako hayo? Hata kwangu mwombe wangu umeingia kwa jirani na tumeshakubaliana kabisa sitagusa yale yalizaliwa upande wake! Na yeye kuna michungwa na mipera imeingia kwangu hivyo nakula yaliyozaliwa upande wangu! Na huwa napiga dawa kabisa na yanazaa hatari kabisa upande wangu!
Kwa kweli tuliona ugomvi hauna maana. Sasa tawi liko kwa jirani na analinda matunda utaenda udai nini tena?Nyie mpo vizuri
Haya maisha ya ujirani hayahitaji malumbanoKwa kweli tuliona ugomvi hauna maana. Sasa tawi liko kwa jirani na analinda matunda utaenda udai nini tena?
Maafisa mifugo waje na ushahidi unaoeleweka. Kwanzaa maafisa mifugo hawa hawa ambao hawajielewi..Unamtafutia kesi ya jinai huyo ndugu yako! Maafisa mifugo hawatamwacha salama lazima atakuwa na kesi ya kujibu!
Kuna maneno ya busara nimeyaokota hapa.Pole kwa kadhia ya jiranyako.
Kwanza huo ukuta ni WA kwako ama wa kwenu?
Ukuta ni unakuwa WA kwako kama umejenga Kwa kuacha nafasi walau mita 2 kutoka jiwe la mpaka Ili na yeye ajenge wa kwake Kwa kuacha umbali huohu kutoka kjiwe lenu la mpaka.
Ukuta unakuwa wa kwenu wote kama mmekubaliana msiache kichochoro bali mjenge kufuata mpaka wa jiwe. Hapa haijalishi mmechangia ama amejenga mmoja wenu. Ilimradi hakuna nafasi iliyoachwa basi baina ya jiwe la mpaka basi huo ukuta unakuwa WA kwenu wote na kila mtu ana haki ya kuutumia.
Kama utataka jirani mkorofi asitumie ukuta wako, vunja huo na jenga mwingine Kwa kufuata Sheria.
Isije kuwa unamwonea wivu huyo jirani yako Kwa sababu unaona anakupiga gepu Kwa kumiliki mang'ombe, maana majirani hampendagi kupitwa.
Ngombe wake wako upande wake na wanachafua ukuta huo upande wake Sasa wewe shida Nini? Kama ukuta utaanguka ama kuharibika sehemu aliyojenga banda basi gharama za matengenezo ziatoka kwake.
Jirani punguza wivu, relax, ongea na jirani yako nawe jifunze ufugaji kutoka kwake baada ya hapo hutajuta kupata jirani mfugaji bali atakuwa baraka kwako
Huu ndio ushauri.Nakushauri mpuuze ,endelea na maisha Yako.
Ilimradi anafuga ng'ombe kwenye plot yake ndani Kwa ndani, mchukulie tu, maisha yaendelee. Ingekuwa nguruwe, harufu yake ndo mtihani.
Mke wako akijifungua, atakuuzia maziwa Bora kabisa.[emoji3][emoji3]
Ubarikiwe.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Huo ukuta utengenezee namna siku udodonke usiku uuwe hao ng'ombe wake
Alafu asubuhi anza kumlaumu kwanini anafugia ng'ombe kwenye ukuta wako alafu mwambie ona sasa mifugo yako imedondosha ukuta na imekufa .
Mwisho mpe pole kwa yaliyotokea atakuwa kajifunza
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mtafunie mkewe, ikishindikana mpigie nyeto makasiriko yatapungua kama sio kuisha.Habari za leo?
Kuna jirani yangu hapa mtaani anafuga ng'ombe. Kawajengea banda kwenye ukuta wa fensi niliojenga mimi na anajaza kifusi cha mavi ya ng'ombe kwenye ukuta huo na kupelekea harufu kali kwa upande wangu hasa kwenye madirisha ya nyumbani.
Naomba mbinu nzuri ya kumtia adabu iwe ya kisheria au ya kibabe. Maana haya maeneo yamepimwa kwa ajili ya makazi na sio ufugaji wa ng'ombe.
Tulishamwambia awe mstaarabu kwa kutokurundika mavi mengi ya ng'ombe na kuleta kero kwetu, tunaona analeta dharau, sasa nimeamua ubaya ubaya liwalo na liwe.
Asanteni.
Kama unafahamu kuwa hayo maeneo rasima kwa makazi sio mifugo unangoja nini kwenda kumshitaki?anzia kwa serikali ya mtaa mdogo mdogo mpaka mahakamani ushahidi utao ukusanya unatosha kumtia adabu hata kulipa fidiaHabari za leo?
Kuna jirani yangu hapa mtaani anafuga ng'ombe. Kawajengea banda kwenye ukuta wa fensi niliojenga mimi na anajaza kifusi cha mavi ya ng'ombe kwenye ukuta huo na kupelekea harufu kali kwa upande wangu hasa kwenye madirisha ya nyumbani.
Naomba mbinu nzuri ya kumtia adabu iwe ya kisheria au ya kibabe. Maana haya maeneo yamepimwa kwa ajili ya makazi na sio ufugaji wa ng'ombe.
Tulishamwambia awe mstaarabu kwa kutokurundika mavi mengi ya ng'ombe na kuleta kero kwetu, tunaona analeta dharau, sasa nimeamua ubaya ubaya liwalo na liwe.
Asanteni.
Hata ng,ombe kinyesi chake shida dawa kumpeleka kwenye sheria akiweza azuie arufu isitoke njeNakushauri mpuuze ,endelea na maisha Yako.
Ilimradi anafuga ng'ombe kwenye plot yake ndani Kwa ndani, mchukulie tu, maisha yaendelee. Ingekuwa nguruwe, harufu yake ndo mtihani.
Mke wako akijifungua, atakuuzia maziwa Bora kabisa.[emoji3][emoji3]
Ubarikiwe.
SHERIA ipi inamzuia mtu kufuga ng'ombe wa maziwa ndani ya plot yake iliyo ndani ya uzio?Hata ng,ombe kinyesi chake shida dawa kumpeleka kwenye sheria akiweza azuie arufu isitoke nje
So kwel mzee🥴
Kama pamepimwa, unaenda kuomba kibali cha ujenzi wa fence alafu unaanza na kamsingi ka kizushi Kisha unarudi Halmashauri, watakuja watamwambia ng'oa mti na kumwelekeza kwamba mti unatakiwa uwe MITA moja na zaidi kutoka kwenye uzio / mpaka.Kuna watu ni wakorofi na kuna watu hawana common sense,
We fikiria viwanja vya 20x20 mtu anapanda muembe tena Mpakani, yani kuna majirani tabu sana
Hata kama hakuna Sheria inayomzuia ila anaweza kushitakiwa Kwa Sheria inayohusiana na usafi wa mazingira ya halmashauri husika ambapo inamtaka kuweka mazingira safi pasipokubudhi wengine.SHERIA ipi inamzuia mtu kufuga ng'ombe wa maziwa ndani ya plot yake iliyo ndani ya uzio?