miviga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2024
- 1,721
- 6,037
Huo ni mashahara wa kufagia majani through out the yearJirani yetu muembe wake nusu umeegemea upande wetu so msimu wa maembe ni full kujisevia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mashahara wa kufagia majani through out the yearJirani yetu muembe wake nusu umeegemea upande wetu so msimu wa maembe ni full kujisevia tu
Mkuu huko uliko hamna tuition ya kiingereza?Sio rahisi kutafsiri na kuandika kiingereza kwa kufikiri kwa kiswahili.The neighbor from hell. Seek some legal help and approaches to tackle that problem by inviting mwenyekiti and other local jurisdictions.
Magonjwa Mtambuka
Si bora miembe!Kuna watu ni wakorofi na kuna watu hawana common sense,
We fikiria viwanja vya 20x20 mtu anapanda muembe tena Mpakani, yani kuna majirani tabu sana
Pole kwa kadhia ya jiranyako.Habari za leo?
Kuna jirani yangu hapa mtaani anafuga ng'ombe. Kawajengea banda kwenye ukuta wa fensi niliojenga mimi na anajaza kifusi cha mavi ya ng'ombe kwenye ukuta huo na kupelekea harufu kali kwa upande wangu hasa kwenye madirisha ya nyumbani.
Naomba mbinu nzuri ya kumtia adabu iwe ya kisheria au ya kibabe. Maana haya maeneo yamepimwa kwa ajili ya makazi na sio ufugaji wa ng'ombe.
Tulishamwambia awe mstaarabu kwa kutokurundika mavi mengi ya ng'ombe na kuleta kero kwetu, tunaona analeta dharau, sasa nimeamua ubaya ubaya liwalo na liwe.
Asanteni.
HahahaMkuu huko uliko hamna tuition ya kiingereza?Sio rahisi kutafsiri na kuandika kiingereza kwa kufikiri kwa kiswahili.
Aisee chalii angu lia kama ng'ombe Mara 3 hapo 😄The neighbor from hell. Seek some legal help and approaches to tackle that problem by inviting mwenyekiti and other local jurisdictions.
Magonjwa Mtambuka
hufananii na huu ushauri...au la nimekufananisha😭✋Dawa ni kutafuta nyasi kilo moja na sumu ya panya, lowesha hizo nyasi kwa sumu ya panya kwa muda wa saa 2½ kisha vizia usiku tupia vifurushi vya nyasi kwa upande wake.
Asubuhi utapata mrejesho.
Baada ya wiki hiyo kero itakuwa imeisha na utabaki na Amani tele.
atleast this..i appreciate you🥰👏Pole kwa kadhia ya jiranyako.
Kwanza huo ukuta ni WA kwako ama wa kwenu?
Ukuta ni unakuwa WA kwako kama umejenga Kwa kuacha nafasi walau mita 2 kutoka jiwe la mpaka Ili na yeye ajenge wa kwake Kwa kuacha umbali huohu kutoka kjiwe lenu la mpaka.
Ukuta unakuwa wa kwenu wote kama mmekubaliana msiache kichochoro bali mjenge kufuata mpaka wa jiwe. Hapa haijalishi mmechangia ama amejenga mmoja wenu. Ilimradi hakuna nafasi iliyoachwa basi baina ya jiwe la mpaka basi huo ukuta unakuwa WA kwenu wote na kila mtu ana haki ya kuutumia.
Kama utataka jirani mkorofi asitumie ukuta wako, vunja huo na jenga mwingine Kwa kufuata Sheria.
Isije kuwa unamwonea wivu huyo jirani yako Kwa sababu unaona anakupiga gepu Kwa kumiliki mang'ombe, maana majirani hampendagi kupitwa.
Ngombe wake wako upande wake na wanachafua ukuta huo upande wake Sasa wewe shida Nini? Kama ukuta utaanguka ama kuharibika sehemu aliyojenga banda basi gharama za matengenezo ziatoka kwake.
Jirani punguza wivu, relax, ongea na jirani yako nawe jifunze ufugaji kutoka kwake baada ya hapo hutajuta kupata jirani mfugaji bali atakuwa baraka kwako
Tia chumvi tuKuna watu ni wakorofi na kuna watu hawana common sense,
We fikiria viwanja vya 20x20 mtu anapanda muembe tena Mpakani, yani kuna majirani tabu sana
Miarobaini inapuputisha majani hadi kero. Utafagia asubuhi na jioniSi bora miembe!
Mimi kapanda Miarobaini na majani mapana kwenye uzio kabisa.
Navuta muda tu niihujumu ife.