Jirani mkorofi, anafugia ng'ombe kwenye ukuta wangu

Mkuu, nina mpera unatoa mapera makubwa sana. Tatizo ni kuwa karibu yote yanakua yana wadudu (funza). Awali, uzao wa kwanza na wa pili yalikua safi kabisa. Unakua ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani kutibu?
Pulizia dawa za kuua wadudu shambani (pesticides). Ulizia bwana shamba aliyeko karibu nawe akusaidie dawa nzuri inayopatikana maeno uliyopo! Yanapokaribia kuanza kutoa maua anza kupiga dawa pia changanya na dawa ya ukungu kula unapopulizia. Na huo mpera wa jirani yangu yalikuwa yanaoza ule upande wake, ikabidi anishirikishe! Sasa hivi nikipulizia ule upande wangu na kwake nampigia dawa!
 
Nyie mpo vizuri
 
Kuna maneno ya busara nimeyaokota hapa.

Kwaiyo wote wana haki sawa ya kuutumia huo ukuta aliyejenga na aliyejengewa? Na inaonesha jirani mg’ombe anaijua hiyo sheria ndo maana amekuwa mkorofi.
 
Huu ndio ushauri.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mtafunie mkewe, ikishindikana mpigie nyeto makasiriko yatapungua kama sio kuisha.
 
Kama unafahamu kuwa hayo maeneo rasima kwa makazi sio mifugo unangoja nini kwenda kumshitaki?anzia kwa serikali ya mtaa mdogo mdogo mpaka mahakamani ushahidi utao ukusanya unatosha kumtia adabu hata kulipa fidia
 
Hata ng,ombe kinyesi chake shida dawa kumpeleka kwenye sheria akiweza azuie arufu isitoke nje
 
Kuna watu ni wakorofi na kuna watu hawana common sense,
We fikiria viwanja vya 20x20 mtu anapanda muembe tena Mpakani, yani kuna majirani tabu sana
Kama pamepimwa, unaenda kuomba kibali cha ujenzi wa fence alafu unaanza na kamsingi ka kizushi Kisha unarudi Halmashauri, watakuja watamwambia ng'oa mti na kumwelekeza kwamba mti unatakiwa uwe MITA moja na zaidi kutoka kwenye uzio / mpaka.
 
SHERIA ipi inamzuia mtu kufuga ng'ombe wa maziwa ndani ya plot yake iliyo ndani ya uzio?
Hata kama hakuna Sheria inayomzuia ila anaweza kushitakiwa Kwa Sheria inayohusiana na usafi wa mazingira ya halmashauri husika ambapo inamtaka kuweka mazingira safi pasipokubudhi wengine.

Naposema kushitaki sio lazima kwenda mahakamani, ni suala la kumhusisha Bwana Afya Mazingira aweze ku-deal nae. Otherwise, vitu vingi huwa vinazungumzika maana jirani yako ndio ndugu yako wa kwanza unapopata changamoto hasa mida ya usiku hivyo ni kutomuogopa Bali kukaa nae na kuelezana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…