Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiyo fedha ukiyoniazima nimekusamehe bwa'mdogoSio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut.
Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia,
1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu
2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa hutoka au husafiri na ananiaga ila hakai hata wiki anarudi.
3. Anaagiza mahitaji kwa boda au mara nyingine anatoka, (hii sio ajabu sana)
4. Kuna mdada/wadada wanakuja ila hawakai sana wanaondoka, jamaa yuko mwenyewe
5. Hana kufulia, au aje aombe kitu, mimi ndo niliwahi kwama nikamfata aniazime kiasi cha pesa.
6. Kusema ni jambazi anatoka usiku hapana, mana hata usiku yupo, na ni mpole sana hana shida na mtu.
Je anaishije?
Online businessSio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut.
Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia,
1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu.
2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa hutoka au husafiri na ananiaga ila hakai hata wiki anarudi.
3. Anaagiza mahitaji kwa boda au mara nyingine anatoka, (hii sio ajabu sana).
4. Kuna mdada/ wadada wanakuja ila hawakai sana wanaondoka, jamaa yuko mwenyewe
5. Hana kufulia, au aje aombe kitu, mimi ndo niliwahi kwama nikamfata aniazime kiasi cha pesa.
6. Kusema ni jambazi anatoka usiku hapana, mana hata usiku yupo, na ni mpole sana hana shida na mtu.
Je, anaishije?
Jirani yako anafanya kazi inaitwa mind your own business!Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut.

AseeChizi wewe,
Ndiyo ivoNa utashangaa kanunua Range Rover ya 300M uchanganyikiwe
Anakaa Changanyikeni au Golani au Msewe au Savei au Makongo ?Jirani yako ana mali zake alizowekeza zamani ndio zinamtunza.
Kama ni kijana ana urithi wa kutosha.
Nina jirani kama huyo. Ni dogo hajaoa bado anaishi kisela.
Hapa dar mama yake kamuachia urithi wa appartments kama 10 hivi. Ubungo, na chang'ombe.
Dogo alizaliwa peke yake na sababu alikuwa anasoma udsm akaamua aje kupanga karibu na chuo baada ya mama yake kufariki. Nyumba ya mama yake goba na appartment alizoachiwa ubungo na chang'ombe akazipangisha zote. Kwa mwezi tu average kodi anakusanya kama milioni 4.
Yeye dogo akaenda kupanga appartment kali karibu na chuo udsm.
Unaona kabisa kazi hafanyi ila anakula bata tu na kubadili magari. Huku majirani zake tunaoamka alfajiri kuwai kazini tunamuonea wivu
Haya maswali ni kamà maswali wanayojiuliza majirani zangu kuhusu mimi mpaka wakanichomea serikali ya mtaa eti nao wakaja kuniuliza. Siku hizi zama zimebadilika si lazima utoke nyumbani kutengeneza fedhaSio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut.
Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia,
1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu.
2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa hutoka au husafiri na ananiaga ila hakai hata wiki anarudi.
3. Anaagiza mahitaji kwa boda au mara nyingine anatoka, (hii sio ajabu sana).
4. Kuna mdada/ wadada wanakuja ila hawakai sana wanaondoka, jamaa yuko mwenyewe
5. Hana kufulia, au aje aombe kitu, mimi ndo niliwahi kwama nikamfata aniazime kiasi cha pesa.
6. Kusema ni jambazi anatoka usiku hapana, mana hata usiku yupo, na ni mpole sana hana shida na mtu.
Je, anaishije?
Hapo mtaani kwenu karibu na nyumba ya jirani yako hamna viatu vinavyoning'inia juu ya waya za Umeme?Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut.