Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

kauli zako ndizo zinaonyesha una wivu maana umeanza mtumishi wa umma , uliona shida gani kusema jirani yako mpaka ukaamua sema mtumishi wa umma. Hiyo kauli inaonyesha ni jinsi gani unachuki na wivu na watumishi wa umma. Halafu usalama gani unaosema eti unaona huna usalama. Ndiyo maana kila mtu anakushangaa na kukuona wa ajabu . Mbona wenzio wenye nyumba za chini kama wewe hawajalalamika? Eti mtumishi wa umma/serikali
 
Sasa ulitaka ajenge Mgongo wa Tembo kwenye kiwanja cha kupimwa sqm 1200? Wewe sema tu kwamba unauza kiwanja hayo mengine achana nayo ,wewe ni dalali wala si kiwanja chako hicho.
 
Hakuna Pazia au vioo tinted...

Ila ndio maana nchi zilizoendelea kuna mipango miji ambapo kila mtaa ambao ni high density kuna aina ya nyumba za kujenga kama ni maghorofa wote ni maghorofa kama wote ni aina fulani ya nyumba basi wote ni hivyo....
 
Ndo maana matajiri wengi wanapata maradhi mbali mbali kwasababu ya kuhusudiwa na wapuuzi kama hawa kwanini unataka kupunguza kasi Ya ukuaji wa uchumi kwa taifa?

Serikali ifanye marekebisho ya sheria WACHAWI PIA WANAINGIA KATIKA KESI ZA UHUJUMU UCHUMI

Uyu naye eti ni Baba wa Familia [emoji23][emoji23] yani kwa roho yako shukuru upo tanzania ungekuwa Dizonga mzee kwa roho iyo ushaenda siku nyingi.
 
Na wewe jenga ghorofa mdogo mdogo
 
Yaani jirani umekuja kuweka picha ya site yangu mtandaoni?
 
Hkna popote nimesema kuwa nitamfanyia ubaya Wala ulozi jiranj yangu nimesema sipendezwi jinsi alivyo seti gorofa lake na balcony

Mm siyo mchawi ndugu mwanajamii forum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…