Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ukijenga floor moja si bado anakuona tuu?Kbsaa nitasubiri a Hadi niweze kujenga na mm walau flow moja na mm
Nimeongea na valuer wangu leo asbh kasema itakwenda kwa milion 34 Bei ya soko kwa SAS HV Ila mm nataka 45 nisepe nitafute kwingine kusiko na maghorofaMkuu niuzie mimi hiko kiwanja
No at least t tutakuwa sambambasamba kuonanaSasa ukijenga floor moja si bado anakuona tuu?
Huo uwezi pia Sina na kuchimba handaki Ni bei San kuliko Hilo ghorofa lakeKwasababu uwezo wa kujenga ghorofa huna chimba handaki uishi chini ya ardhi ili asikuone
Hkn namna usiombe usungukwe na maghorofa haki utapa amani kbsaa hata kama unajimudu kidgo ila amani haipo kbsa kila saa una wasiwasiNimecheka sana ,tabu ipo pale upate kiwanja tabu bado majiran tu Yaan
Pole sana
Leo nikipata muda nitakwenda kupiga picha uone over view nzima ya jinsi maghorofa yalivyo jengwa pale Kisha uone na mm location yangu ninavyo pata tabu hasa kwahuyu jamaaNimecheka sana ,tabu ipo pale upate kiwanja tabu bado majiran tu Yaan
Pole sana
Yaa nakuelewa ila utakakohamia utajuaje hakuna maghorofa yatajengwa??Leo nikipata muda nitakwenda kupiga picha uone over view nzima ya jinsi maghorofa yalivyo jengwa pale Kisha uone na mm location yangu ninavyo pata tabu hasa kwahuyu jamaa
Pia nitatazama mipango mji unakwendaje na Zaid San safarii hi nitakaa nnje ya jiji kbsaa kbsa klm 45 so Hadi uje ujenge ghorofa nitakuwa nimezeeka au nimekufaYaa nakuelewa ila utakakohamia utajuaje hakuna maghorofa yatajengwa??
yaani wewe ulipoanza tu kusema mtumishi wa serekali nikajua tayari majungu yameanza. Hapa nadhani ulichotaka sema ni kuwa mtumishi kajenga gorofa. Huu ni wivu na roho mbaya tuache hivi. Mtumishi wa umma au serekali haimaniishi awe maskini ndiyo iwe sifa kuwa ni mtumishi. Huwezi jua historia yake au kuna nini cha ziada anafanya au ana ndugu wenye uwezo mke au mume au hata watoto. Sasa umeweka na picha kwani eneo hilo wamekataza jenga gorofa? yeye uwezo wake kujenga gorofa wewe nyumba ya chini tatizo liko wapi? ukipenda fatilia vya watu unahisi na wewe unafatiliwa. huyo jamaa na jengo lake inaonyesha karidhika na hana mawazo ya kukaa eti anakufatilia wewe kwa kipi? ndiyo maana kaweka na ukuta ili msionaneWakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa Serekali, kwanza kiwanja chake ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.
Sasa kinachonipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake aliouanzisha hivi karibuni, anajenga ghorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote imeitazamisha kwangu.
Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu watakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.
Mimi Sina uwezo kwa sasa wa kujenga ghorofa ila itabidi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbani.
Vinginevyo nitamuende nimuuzie hicho kiwanja changu, mimi nitafute kwingine.
Am stressed u know.
View attachment 2933773
Niambie, athari yake nini?Naona unaongea ilimradi tu kwa hiyo ujui adhari za miti nyuma ya nyumba
Unajua wivu ni ugonjwa ,signs zake na symptoms zake ni kulalamika ,kununa,kuumia ,kuaza kumsema mngine vibaya kwa watu pale anapopiga hatua yeyote katika maisha.Wala hainiumi mm Ni jinsi alivyoliseti Hilo jengo
Acha upumbafu wee mm nimuoneaa wivu mtumishi wa umma ,kwann nimpigemajungu mm wakt. Ndugu zangu wengi Ni watumish wa umma na wanan maghorofa Yaoyaani wewe ulipoanza tu kusema mtumishi wa serekali nikajua tayari majungu yameanza. Hapa nadhani ulichotaka sema ni kuwa mtumishi kajenga gorofa. Huu ni wivu na roho mbaya tuache hivi. Mtumishi wa umma au serekali haimaniishi awe maskini ndiyo iwe sifa kuwa ni mtumishi. Huwezi jua historia yake au kuna nini cha ziada anafanya au ana ndugu wenye uwezo mke au mume au hata watoto. Sasa umeweka na picha kwani eneo hilo wamekataza jenga gorofa? yeye uwezo wake kujenga gorofa wewe nyumba ya chini tatizo liko wapi? ukipenda fatilia vya watu unahisi na wewe unafatiliwa. huyo jamaa na jengo lake inaonyesha karidhika na hana mawazo ya kukaa eti anakufatilia wewe kwa kipi? ndiyo maana kaweka na ukuta ili msionane
Hpn ujanielewe wew hamuwezi nielewa kamweUnajua wivu ni ugonjwa ,signs zake na symptoms zake ni kulalamika ,kununa,kuumia ,kuaza kumsema mngine vibaya kwa watu pale anapopiga hatua yeyote katika maisha.
Najuwa kuwa kujenga ghorofa siyo kutazma watu chini hpn ,,Usikute mwenyewe kajenga Hana hata wazo la kusema anajenga ili akuzoom wewe,wewe unajishitukia,acha hizo pambana nanmaisha yako.
Ebu tupe location ya kiwanja tafadhaliWacha nichape kazi Kwanza nimechoka kubishana na watu wasio na exposure yoyote ile wengi Nimegundua hamkuwai kuishi kwenye maghorofa na pia hamna mwenye ghorofa humu ndio maana mnaongea simple simple tu
All in all niseme tu Asante kwa matus yenu kwangu ila mm Niko nafikiria nimuendee jirani yangu ili Kama atafika Bei nimuachie kiwanja hicho kbla ya mtu mwingine yoyote yule. mm Sina chuki na jirani Wala siumiizwi na maendeleo yake am happy for him
Na Kama aatashindwa kununua nitamuuzia kak angu mm ajenge apartment za ghorofa pia Ana uwezo huo