Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Me nimekuelewa sana kaka.... Family inahitaji privacy!!!! Ukiona mtu baada ya kusoma uzi kaja juu, kwamba unaroho ya kimaskini, jua vice versa is true🤝

Kiuharisia, mwehu huwa haoni wehu wake..... na ignorant always think they are too smart 🚶🚶
Usibabaishwe na comments za wakazi wa Tandale kwa tumbo, hofu yako inaingia akilini ndugu
Kiuharisia ❌
Kiuhalisia ✅
R I P Lowassa
 
Dah ila jamaa kiboko ety ukuta uvuke ghorofa 😂
Pesa yako tu. Kuna mkubwa mmoja jirani yake palinunuliwa zikapandishwa apartments za ghorofa tatu,yeye ana ghorofa kali tu. Privacy yote ikapotea.
Alichofanya alianza kupanda ile miashok trees,halafu juu ya ukuta zikapandishwa nguzo wakaweka zile nyavu kama za kwenye parking shade mwanzo mwisho. Sasa hivi anaweza hata kuogelea kwenye pool.
 
Huyo jirani wa kaka yako uliyesema alikuwa na nyumba nzuri, mkewe na watoto wake walikuwa wanaogea nje?
Au choo cha nje kisichoezekwa?

Kama ni choo cha ndani, madirisha ya chooni ni madogo sana.... huwezi kuchungulia na kuona ndani labda upanie sana.

Narudia kusema, WEWE ni MUONGO mmoja.... upo hapa kujichekesha tu.
Wee mjinga Kweli endele kukari nyumba za watu kwamb mm nilikuwa nalazimisha kuchungulia watu au umetokea automatically nikawa na over view activities za jirani ake Hadi mm kuhisi kumkera sna
 
Bora wee Ni 10 Mt mm Ni mita moja ndio tunapishana maji yote yatadondoka kwangu mm na achilia mbali ku na access ya ku over view activities zangu zinazendelea nnje na ndani na sebelenj
Mkuu mbona unamuwazia in a negative way tu??
Una uhakika gani kama bati lake hataliwekea gata maji yakaenda sehemu 1 ili ayaelekeze pa kutokea?
 
Kiuharisia ❌
Kiuhalisia ✅
R I P Lowassa
Kama Nabii Lut aliokosea kuoa, akaoa mwanamke asiye na hof ya Mungu, nabii Adam kaambiwa usile tunda utakufa ila mwsho kafanya mistake kala (hao wote manabii wa mungu walikosea.... sasa mm Mwanyongo wa Mabwepande kukosea kdg tu unashangaa nn
Are u serious??
 
Wakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa Serekali, kwanza kiwanja chake ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.

Sasa kinachonipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake aliouanzisha hivi karibuni, anajenga ghorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote imeitazamisha kwangu.

Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu watakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.

Mimi Sina uwezo kwa sasa wa kujenga ghorofa ila itabidi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbani.

Vinginevyo nitamuende nimuuzie hicho kiwanja changu, mimi nitafute kwingine.

Am stressed u know.

View attachment 2933773
Nenda kamloge
 
Back
Top Bottom