Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Umenikumbusha nilikuwa naishi jirani na mtu mwenye gorofa. Na vile mimi nikishaingia getini ni kujiachia tu itakuwa alikuwa anakula chabo sana maana nilikuwa nikikutana nae anacheka cheka tu.
 
Umenikumbusha nilikuwa naishi jirani na mtu mwenye gorofa. Na vile mimi nikishaingia getini ni kujiachia tu itakuwa alikuwa anakula chabo sana maana nilikuwa nikikutana nae anacheka cheka tu.
Siumeona Sasa shida ndio hyo jamaaa anauwezo wa kuniona tokea naingia getti kwangu [emoji41]
 
Huko utakohamia nako jirani akijenge ghorofa utauza kiwanja ukimbie tena!? Acha kujipa stress za kipuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…