Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Umenikumbusha nilikuwa naishi jirani na mtu mwenye gorofa. Na vile mimi nikishaingia getini ni kujiachia tu itakuwa alikuwa anakula chabo sana maana nilikuwa nikikutana nae anacheka cheka tu.
Siumeona Sasa shida ndio hyo jamaaa anauwezo wa kuniona tokea naingia getti kwangu [emoji41]
 
Wakuu huyu jamaa simjui vzr Ila nahisi Ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800

Sasa kinacho Nipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake alio uanzisha hivi karibuni ,anajenga gorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote inameitazamisha kwangu

Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu atakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla

Mm Sina uwezo kwa Sasa wa kujenga gorofa ila itabdi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbni


Vingenevyo nitamuende nimuuzie hcho kiwanja changu mm nitafuta kwingine

Am stressed u know View attachment 2933773
Huko utakohamia nako jirani akijenge ghorofa utauza kiwanja ukimbie tena!? Acha kujipa stress za kipuuzi.
 
Back
Top Bottom