Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Panda miti
 
kwanza kwani nyumba yako huko kwenye vyumba madirisha hayana vioo?
sasa kuhusu shughuli za nyumbani za uani ni zipi za ajabu unazofanya? si hizi za kawaida tu? sasa hofu ya nini
 
Niuzie kiwanja chako kama kiko sehemu nzuri, hakafu mimi nitamhamisha kwa nguvu
 
Me nimekuelewa sana kaka.... Family inahitaji privacy!!!! Ukiona mtu baada ya kusoma uzi kaja juu, kwamba unaroho ya kimaskini, jua vice versa is true🤝

Kiuharisia, mwehu huwa haoni wehu wake..... na ignorant always think they are too smart 🚶🚶
Usibabaishwe na comments za wakazi wa Tandale kwa tumbo, hofu yako inaingia akilini ndugu
 
"Kaka" yako kama sio wivu ana kaujinga tuu, watu wanajenga nyumba zao yeye anafikiri wanataka kumchungulia,mna akili za kipuuzi sana
 
Una kiwanja kizuri sana Mkuu. Usi uze hicho kiwanja. Nenda nunua sehemu nyingine kwa bei rahisi
 
Wee umenielewa bhna usalama Ni muhimu kuliko Jambo lolote
 
Unaweza anza kupanda Ashoka trees upande wake karibu na ukuta.

Ukitulia hata kiujenzi utaweza pata privacy yako.. labda ndipo upepo unatokea.. risechi..
 
Kwa maana hiyo ukiuza na kuhamia sehemu nyingine majirani zako wakijenga ghorofa tena utafanyaje?Acha Ujinga tuliza akili.Ishi uwezavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…