Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Panda miti upande huo na pia uwe na amani kama hutendi mambo mabaya.
 
kwahiyo wewe kiwanja chako umegeuza ni shamba mkuu
 
wakulima huwa hatunaga wivu kabisa sijui huyu jamaa ni kabila gani wallah atakufa kwa wivu[emoji28]
Mm siyo mkulima babu na hkuna sehemu mm nimetaja kuwa mm Ni mkulima hapo aliko otesha makabeji Ni watu walivamia nisio wajua ndio wakaotesha kabechi na maharage na siyo tatizo
 
Panda miti upande huo na pia uwe na amani kama hutendi mambo mabaya.
Sina baya natenda Ni usalama wangu na familia kwa ujumlahawta kuwa comfortable kutoka na jinsi jiranj alivyo liseti ghorofa lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…