Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😂😂😂 lol.Hadi vinyweleo vimenisimama aseee ukwapi nkuletee picha yangu nkiwa nimeiweka frem kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 lol.Hadi vinyweleo vimenisimama aseee ukwapi nkuletee picha yangu nkiwa nimeiweka frem kabisa
Hata ukiwa na mama watoto faragha?S ndio hapo Ana Access ya kuona kila ninchofanya
Kwani ww unashughuli gani ya muhimu?Usalama wangu uko hatarini
Panda miti upande huo na pia uwe na amani kama hutendi mambo mabaya.Wakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.
Sasa kinacho Nipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake alio uanzisha hivi karibuni ,anajenga gorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote inameitazamisha kwangu.
Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu atakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.
Mm Sina uwezo kwa Sasa wa kujenga gorofa ila itabdi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbni.
Vingenevyo nitamuende nimuuzie hcho kiwanja changu mm nitafuta kwingine
Am stressed u know.
View attachment 2933773
Kwakweli. Kuna watu wana roho mbaya sana aiseeAdvanced Diploma in witchcraft technology 😊
Kwamba ulikuwa wa bak na boxer au pichu?Umenikumbusha nilikuwa naishi jirani na mtu mwenye gorofa. Na vile mimi nikishaingia getini ni kujiachia tu itakuwa alikuwa anakula chabo sana maana nilikuwa nikikutana nae anacheka cheka tu.
kwahiyo wewe kiwanja chako umegeuza ni shamba mkuuWakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.
Sasa kinacho Nipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake alio uanzisha hivi karibuni ,anajenga gorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote inameitazamisha kwangu.
Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu atakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.
Mm Sina uwezo kwa Sasa wa kujenga gorofa ila itabdi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbni.
Vingenevyo nitamuende nimuuzie hcho kiwanja changu mm nitafuta kwingine
Am stressed u know.
View attachment 2933773
Pmj. Na Mambo mengineUnahisi atakua anamuona mke wako akioga?
Uamskini kivp hicho kiwanja ningekipata vip wakt vigogo ndio wanaishi humoUmasikini mbaya sana
Ni hatar kwa usalama wa baadaePanda miti
Ni hatari miti utapandaa nyuma ya nyumba KweliUpande huo panda mihashoki karibu karibu. Hataona kitu.
Mm siyo mkulima babu na hkuna sehemu mm nimetaja kuwa mm Ni mkulima hapo aliko otesha makabeji Ni watu walivamia nisio wajua ndio wakaotesha kabechi na maharage na siyo tatizowakulima huwa hatunaga wivu kabisa sijui huyu jamaa ni kabila gani wallah atakufa kwa wivu[emoji28]
Pale ndio sehemu potential ya kuishi tulivu snaUna kiwanja kizuri sana Mkuu. Usi uze hicho kiwanja. Nenda nunua sehemu nyingine kwa bei rahisi
Acha zarau kak usimchukulia mtu POA kisa yumu hukuKwani ww unashughuli gani ya muhimu?
Anayejenga ghorofa atakuhatarisha nini ww Lofa?
Wakati mwingine pigeni hesabu tu zinatosha
Sina baya natenda Ni usalama wangu na familia kwa ujumlahawta kuwa comfortable kutoka na jinsi jiranj alivyo liseti ghorofa lakePanda miti upande huo na pia uwe na amani kama hutendi mambo mabaya.
Kwani rohi mbaya kwani nimemfanyia nn kibaya yaani Sina wivu wala nn kero Ni comfortability ya family yangu na usalama kwa ujumlaKwakweli. Kuna watu wana roho mbaya sana aisee