DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hapa ninapopanga, jirani yangu usiku wa kuamkia leo katembezewa kichapo kikali sana. Huyu Mwanamke ni mzuri tu, lakini tatizo lake mdomo tu. Tatizo lake ameshindwa kufahamu kuwa, mume wake ni chapombe. Huyu mume wake ni muungwana sana, lakini akilewa ukaanza msumbua lazima atembeze Mandonga.
Nilichogundua, maisha ni magumu sana hapa Tanzania. Huyu mwanamke pamoja na kichapo alichopewa usiku wa kuamkia leo kagoma kuondoka kwa mmewe. Jana kafukuzwa, lakini kakataa kuondoka kasema aende wapi wakati hana baba wala mama.
Hitimisho, wanaume tupugnguze vichapo, ni hatari unaweza kusabisha mauaji. Pia wanawake punguzeni mdomo, ukiona mtu ameshalewa kaa kimya tu. La sivyo mtaishia kula vichapo vikali sana.
Kubwa kuzidi yote ni kuhakikisha mnakaa katika hofu ya Mungu.