Huo ni ukukuMwambie huyo mwanamke akiona mme karudi kalewa aweke maji mdomoni bila kuyameza atanishukuru kesho yake
Ulete mrejesho
Hawa wa sasa kaa chonjo siku.yoyote ura RIP yaani Rest In PeaceKabisa mwanamke akileta kidonodomo lazima kidume umtwange mgumi mbili tatu
Hawa hawana huo uwezo wewe wanawake wenyewe njaa tupu wee kama unamuhudumia vizuri ukimzabua mgumi mbili tatu hawezi fikia hiyo hatuaHawa wa sasa kaa chanjo siku.yoyote RIP
Aweza kukuwekea sumu kwenye chakula ukaondoka mjinga wewe
Mtu anakupikia halafu unaleta za kuleta
Aweza kufanyia kitu kibaya
Acheni huo upumbavu wa kupiga piga wake
We ndo hamnazo sasa, Mpigwaji mwenyewe anadai habanduki ko haya ndo maisha yao ukiingilia utasodolewa tu hapo badae. Fanya yanayokuhusu. Mleta mada kaona bora alete elimu huku kuliko kutafuta balaa kuleWewe na huyo mwanaume anayembatua mkewe hamna tofauti.
Unakuja kusimulia hapa kana kwamba ni tukio la kujivunia.
Tafuta namna ya kuwasaidia hao wanandoa wasije wakauana.
Inaonekana una Mdomo mwingi na Umekomazwa na vipigo kwa maana hutaki kubadilika kabisa, Nasubiri siku ukivunjwa Kiuno ndo ulete thread ya kuwashauri wanawake wenzio wajifunze kukaa KimyaWewe ni dume bwege ulliyezaliwa porini ukaja mjini kupitia elimu bure kwa wote
Elimu bure kwa wote imechangia kuleta mijitu mijinga kama wewe mjini
Ungebaki.huko huko vijijini maporini kwenu mnakopenda kuendekeza ujinga wa kupiga wake zenu
Unaongea kitu ambacho hukijui, Ukiwa nae mwanamke mwenye mdomo ndio utajuwa Kwanini kesi za ndoa zinakuwa nyingi hivi.Yaani Miaka hii bado kuna mwanaume anapiga mke
Kweli wanaume wapumbavu hawaishi duniani bado wapo
Huyo naye ni mmojawapo huyo aliyepiga mke
Tunakutana Bar na Night Club, So huwa wanajua kabisa sisi ni wazee wa kidimbwi ila na wao kwa kua hawana Baba wala Mama na wameamua kuutua mzigo wa ukahaba wanaamua kutulia na sisi walevi.Wanawake nao hawajipendi unakubali vipe kuolewa na mlevi ?
These days every nigga is a hoeWanaume suruali watakuja kukemea upigaji wa wanawake. Akizingua lazima achezee. Msidanganywe na hawa mapoyoyo walioharibiwa na feminism.
Bc kipigo ni halali yao kwa kukubali kuolewa na walevi 😁Tunakutana Bar na Night Club, So huwa wanajua kabisa sisi ni wazee wa kidimbwi ila na wao kwa kua hawana Baba wala Mama na wameamua kuutua mzigo wa ukahaba wanaamua kutulia na sisi walevi.
we jamaa mbn unatuchanganya ! mafeminists wameshasema wao sio viumbe dhaifu ni wanangangari.! kwahio ngangari tunadeal nae kwa mkono wa chuma..aidha wakijishusha na kukubali wao ni wadhaifu bc tutawapiga kwa upande wa kanga.Ila kanda ya ziwa inaongoza kwa wanaume kupiga wanawake zao....kuna sehemu nilihamia mzee ndani ya wiki wapangaji watatu wamewapiga wake zao na kuwafukuza kabisa....ila baada ya muda wakarudiana...
Kuna mmoja alikuwa ana mchapa mke wake kimya kimya,mwanamke akishindwa kuvumilia kichapo akaanza kulia niache niende kwetu,jamaa alifunga mlango kwa ndani anaendelea kumpa vitasa mkewe,sisi tunasikilizia tu mtifuano hahaaahaa ni raha kama mtu una bifu naye ukasikia anakula vitasa.
Basi mpangaji wa jirani na jamaa anayempiga mke wake akaamua kuingilia ugomvi,akamwambia jamaa anayetoa displine, oya tokeni mkapiganie nje msije kuuwana humu ndani tukapata kesi,mtoa vitasa anaendelendelea kutoa vitasa ....mke analia tu,mwisho wake jirani akatoka kwake akaenda mlangoni kwa jamaa akagonga mpango kwa nguvu...jamaa wa vitasa akapoa akafungua mlango akamwambia jirani yake haya chukua huyo mwanamka kama unataka ,walijibizana pale wakataka kupigana kabisa...mke akaondoka usiku ule ilikuwa kama saa sita,jamaa wakabaki wanarushiana maneno....
Ujumbe.
Wanaume tujizuie kuwapiga wake zetu sio ustaarabu hasa kwenye maisha ya nyumba za kupanga inamdhalilisha sana mwanamke,kama unaishi kwako afadhali kama hauwezi vumilia mchape fimbo kama mwanao umpendaye wanawake ni dhaifu sana inabidi kuishi nao huku tukielewa udhaifu wao....kuna wazazi wetu wametulea tumeona katika ndoa zao hawajawahi kupigana zaidi ya miaka 10,20,-30 hivyo kwenye ndoa uvumilivu ndio silaha yako mwanaume.
Mwanamke mpaka apigwe anakuwa amezingua kweli. Mara chache mno mwanamke apigwe ikiwa hajakosea ndio maana hawaondokagi.We ndo hamnazo sasa, Mpigwaji mwenyewe anadai habanduki ko haya ndo maisha yao ukiingilia utasodolewa tu hapo badae. Fanya yanayokuhusu. Mleta mada kaona bora alete elimu huku kuliko kutafuta balaa kule
Say no to violence
Mdomo unaufungua kwa mlevi?Huo ni ukuku
Mtu akizengua fungua mdomo ongea
Aliitishia maKofi na pombe zake na kuanza kupiga mke majirani tokeni na fimbo na mapanga na mashoka kampeni kipigo huyo mwanaume cha mbwa koko.
Hiyo ndio komesha ya hizo tabia za cha pombe analewa halafu anakuja piga piga mke
Mkuu umesikia ni wapi inaandikwa Biblia na Quran nyingine au hata kutolewa tolee jipyaYaani Miaka hii bado kuna mwanaume anapiga mke
Kweli wanaume wapumbavu hawaishi duniani bado wapo
Huyo naye ni mmojawapo huyo aliyepiga mke
Kuna walevi wa aina ile ya naenda kunywa pombe huyu mke nikirudi atanikomaMdomo unaufungua kwa mlevi?
Unajua kila unapobishana na mlevi ndio anazidi kelele
Nimeona sio walevi tu na wengine ambao sio walevi bali wakirudi home mwanamke anaanza kuuliza maswali kabla hata hajampokea
Kama na wewe ni mmoja wa wanawake wanaopiga kelele na kuuliza waume zao walikuwa wapi basi nakupa pole