Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Orthostatic hypotension hutokea mara nyingi soon after kusimama, sasa kweli mpaka amefika chooni akafanya yaliyompeleka more than 30 sec. Sina uhakika kama inaapply hapo hii.Anatumia dawa za pressure? Kama anatumia hiko linatokea na ni hatari, wanashauriwa kukojoa wamekaa. Na hata kama hatumii hiyo inatokea, inaitwa Postural Hypotension. Yaani pressure ya damu inashuka mtu anaposimama, hasa ghafla sababu damu hukimbilia miguuni. Hilo linafanya damu kwenye ubongo iwe ndogo na kuleta kizunguzungu.
Bahati mbaya watu wengi huwaza majini, mapepo na uchawi.
Ila ni tatizo la kibiolojia sio manyanga.. Huyo by kesho amepigwa chale mwili mzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Orthostatic hypotension hutokea mara nyingi soon after kusimama, sasa kweli mpaka amefika chooni akafanya yaliyompeleka more than 30 sec. Sina uhakika kama inaapply hapo hii.
Amesema hana pressure,ugonjwa wa moyo wala kiuskariAnatumia dawa za pressure? Kama anatumia hiko linatokea na ni hatari, wanashauriwa kukojoa wamekaa. Na hata kama hatumii hiyo inatokea, inaitwa Postural Hypotension. Yaani pressure ya damu inashuka mtu anaposimama, hasa ghafla sababu damu hukimbilia miguuni. Hilo linafanya damu kwenye ubongo iwe ndogo na kuleta kizunguzungu.
Bahati mbaya watu wengi huwaza majini, mapepo na uchawi.
Naomba ufafanuzi zaidi umeniweka kwenye bracket...Tayari washampa ugonjwa kwa ulimwengu wa roho wa giza...afanye maombi
Yaan kashapigwa tunguli? π¬πTayari washampa ugonjwa kwa ulimwengu wa roho wa giza...afanye maombi
Ila kuna baadhi ya watu wanasema huwa mtu akianguka chooni akipona ni bahati sana wengi wanapata stroke,kupooza upande,kupinda mdomo au kufa kabisa ila haya yanampata pale pale chooni..sijajua kwa huyu aliyenusurika hayo.Yaan kashapigwa tunguli? π¬π
Hiyo hali ni ya kawaida, mwambie atoe hofuAmesema hana pressure,ugonjwa wa moyo wala kiuskari
Tayari alishaandaliwa maradhi kwa ulimwengu wa roho wa giza na wakapanga sehemu kuwa ni chooniNaomba ufafanuzi zaidi umeniweka kwenye bracket...
Hayupo sawa hapo, anaweza kufa baadae..Ila kuna baadhi ya watu wanasema huwa mtu akianguka chooni akipona ni bahati sana wengi wanapata stroke,kupooza upande,kupinda mdomo au kufa kabisa ila haya yanampata pale pale chooni..sijajua kwa huyu aliyenusurika hayo.
Nasikiaga kwamba kule chooni hua kuna viumbe visivyoonekana hua vinaishi ukifanya tofauti na inavyotakiwa kufanya ukiwa chooni ndio hivyo unajikuta umekalishwa kikaoIla kuna baadhi ya watu wanasema huwa mtu akianguka chooni akipona ni bahati sana wengi wanapata stroke,kupooza upande,kupinda mdomo au kufa kabisa ila haya yanampata pale pale chooni..sijajua kwa huyu aliyenusurika hayo.
Amesema alivyomaliza kukojoa akatema mate pale chooni ile anatoka akajikuta amepata kizunguzungu nakupoteza ufahamu gafla akajikuta amepiga magoti karibu na mlango.Nasikiaga kwamba kule chooni hua kuna viumbe visivyoonekana hua vinaishi ukifanya tofauti na inavyotakiwa kufanya ukiwa chooni ndio hivyo unajikuta umekalishwa kikao
Huyo mhusika aseme ukweli alifanya nini huko chooni hadi wakulungwa wakamuweka mtu kati
Nilisia tu kwenye kijiwe chetu cha kahawa sio kijiwe cha chai
Nitakuja tena..