Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!Mambo ni mengiKama kiafya yupo sawa na hata hospitalini hajakutwa na tatizo basi ajue mwili wake ni nyumba ya mgeni mwingine anaishi humo ndani au kafanyiwa kibaya
Mambo mengi sana yaliaminiwa ni ya kishirikina lakini sayansi imegundua sivyo, lakini washirikina mmezidi kukomaa na imani zenu. Wengi bado wanaamini radi inatumwa na watu na ikipiga sehenu huwa inataga mayai😀Ninyi mnao jifanya hamuamini kama ushirikina upo ndio huwa washirikina wenyewe , haya mambo yalisha kuwepo tangu enzi za mitume na manabii
Kuna ile ya nguvu za Giza ,ila kama kawaida kuteleza Haina noma mi mara kibao ile kukanyaga sabuni😂😂😂nikapiga kichwa kweny kokiAkili za kuambiwa changanya na za-kwako.
Kuna jamaa yangu alidondoka chooni tukamwahisha hospitali akiwa mahututi.
Hospitali baada ya kumchunguza kichwa waligundua damu imeanza kuvuja ndani ya kichwa, na angechelewa angefariki.
Cha kushukuru ni kwamba mpaka leo ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli zake vyema baada ya upasuaji.
Je, angepaka uchafu wa chooni angepona?
Aende kwanza hospitali kabla hajaangalia uoande huo, kama yupo sawa basi kaingiliwa na jini huyo au kafanyiwa mchezoDah!Mambo ni mengi
Possibilities ni nyingi sana, na wala siwezi kukataa uwezekano wa yoyote.Kuna ile ya nguvu za Giza ,ila kama kawaida kuteleza Haina noma mi mara kibao ile kukanyaga sabuni😂😂😂nikapiga kichwa kweny koki
Ebwana kama Yuko dar au mkoani mwambie aende eagt city centre Kwa pastor Katunzi aende Tu Kwa ibada at aki Google atapata kanisa lilipo njia ya mbagala nakwambia hapo atapata uponyaji bure kanisa Kwa Jina la Yesu niamini nimempeleka wengi mapepo yamekimbia afanye hima wasije muwahi msaidie kwenda kanisani kama unampenda hapa Nina uhakika Napo...Hapo vip!!
Binafsi nimeshindwa kumpa ushauri kuhusiana na tatizo hilo.
Kuna jirani yangu leo amekuja kunieleza jambo la ajabu sana nikashangaa
Hivi anadai ameingia chooni kukojoa usiku alivyomaliza mkoja gafla akapatwa na kizunguzungu na kupoteza ufahamu gafla akajikuta amepiga magoti akiwa anataka kutoka chooni.
Akaamka akatoka chooni ila akawaa ameshtuka sana na ajaumia wala hana maumivu yeyote na anaendelea na kazi zake kama kawaida.
Ananiomba ushauri juu ya hilo jambo kwasababu anakosa amani na anataka kuchukua hatua zaidi..
karibuni wataaam kwa ushauri.
Amesema hana pressure,ugonjwa wa moyo wala kiuskari
mwambie aend hospital hakun jamb la ajab hapo ila km anatak namba ya mtaalamu me nnayo 😁😁😁🤔Hapo vip!!
Binafsi nimeshindwa kumpa ushauri kuhusiana na tatizo hilo.
Kuna jirani yangu leo amekuja kunieleza jambo la ajabu sana nikashangaa
Hivi anadai ameingia chooni kukojoa usiku alivyomaliza mkoja gafla akapatwa na kizunguzungu na kupoteza ufahamu gafla akajikuta amepiga magoti akiwa anataka kutoka chooni.
Akaamka akatoka chooni ila akawaa ameshtuka sana na ajaumia wala hana maumivu yeyote na anaendelea na kazi zake kama kawaida.
Ananiomba ushauri juu ya hilo jambo kwasababu anakosa amani na anataka kuchukua hatua zaidi..
karibuni wataaam kwa ushauri.
Labda aliwatemea wenyewe humo chooni walikua wamepozi akawakasirisha wakampa adhabu kwanza ya kupiga magoti adhabu nyingine wanajifikiria.Amesema alivyomaliza kukojoa akatema mate pale chooni ile anatoka akajikuta amepata kizunguzungu nakupoteza ufahamu gafla akajikuta amepiga magoti karibu na mlango.
Ndiyo maana inashauriwa, mara unapoamka kutoka usingizini usikurupuke kusimama kwa haraka. Unatakiwa kukaa kitandani japo kwa dakika 3 ndipo uinuke.Anatumia dawa za pressure? Kama anatumia hilo linaweza kutokea na ni hatari, wanashauriwa kukojoa wamekaa. Na hata kama hatumii hiyo huwa inatokea, inaitwa Postural Hypotension. Yaani pressure ya damu inashuka mtu anaposimama, hasa ghafla sababu damu hukimbilia miguuni. Hilo linafanya damu kwenye ubongo iwe ndogo na kuleta kizunguzungu.
Bahati mbaya watu wengi huwaza majini, mapepo na uchawi.
Umeelezea vizuri sanaInategemea mkuu,
Mara nyingi sana watu wanadondoka chooni/bafuni kwa sababu ya pressure ya ghafla.
Inashauriwa mtu anapoenda kuoga asianze kwa kujimwagia maji kichwani.
Uwezekano wa mtu kupata madhara makubwa chooni ni kutokana na ufinyu wa eneo. Ni rahisi sana wakati wa kudondoka chooni kugonga kichwa ukutani hivyo kupelekea madhara makubwa kwenye mwili na maisha ya binadamu.
*Hayo mengine ya shirki sina uelewa nayo sana.
Hahahaha Umeua!Nasikiaga kwamba kule chooni hua kuna viumbe visivyoonekana hua vinaishi ukifanya tofauti na inavyotakiwa kufanya ukiwa chooni ndio hivyo unajikuta umekalishwa kikao
Huyo mhusika aseme ukweli alifanya nini huko chooni hadi wakulungwa wakamuweka mtu kati
Nilisikia tu kwenye kijiwe chetu cha kahawa sio kijiwe cha chai
Nitakuja tena..
Pole sana..Dunia tuna pita ila baadhi ya wanadamu tunavita kubwa na sababu ya vita haujui na haipo sababu.Iliwahi kunitokea pia. Mimi nilianguka nikapigiza kichwa though sikuanguka vibaya..
Mke wangu alinisikia nikikoroma, akaja kanikuta chini.
Nilikua naona kama naota kama kizungu zungu hivi..
Ilikua immediately baada ya haja ndogo...
Nilienda hospital moja kubwa kuchunguzwa, nikaanza na neurosurgeon kucheck mifumo ya fahamu...
Nilifanya vipimo, ECG, MRI na vingine sivifahamu. Lakini hawakuona shida yoyote... nikafanya na vipimo vya kawaida hawakuona shida yoyote.
Wakashauri nikafanyiwe kipimo cha moyo kwa kufatilia mapigo ya moyo kwa masaa 24 (kulala hapo hapo hospital)... kipimo hiki sikukifanya na imepita miaka miwili sasa sijaona shida yoyote tena.
Sijawahi kuwa na historia yoyote ya kupoteza fahamu.
Kwa kweli kuna mambo hayana majibu, na hapo ndio ukuu wa Mungu unapokuja. Madaktari waliniambia mimi ni mzima niendelee kupiga kazi. Ila mpaka leo nina maswali, nini kilitokea? Sina majibu.