Jirani yangu kapoteza ufahamu gafla chooni ila ni mzima

Kama ni mwanaume ni kawaida, kuna hali huwa inapata jinsia ya kiume wakati wa kukojoa sukari inashuka ghafla na ntu anaweza kupoteza ufahamu. Wataalam watakuja waeleze zaidi
 
Nimewahi kukutwa na hili jambo zaid ya mara nne,na inatokea kila nikienda haja ndogo usiku(kushtuka/kuamka na kwenda haja ndogo)
Nachukuliaga kawaida tu mana nikihisi kizunguzungu huwa natulia hadi kiishe ndo nitoke
Yah inawatokea wanaume tu
 
Mambo mengi sana yaliaminiwa ni ya kishirikina lakini sayansi imegundua sivyo, lakini washirikina mmezidi kukomaa na imani zenu. Wengi bado wanaamini radi inatumwa na watu na ikipiga sehenu huwa inataga mayai😀
Hayo ya imani za radi ni ya kwako lakini la kwangu nyie kujifanya hamuamini ushirikina wakati mme chanja chale hadi kwenye nyeti
 
Hilo Katunzi ni tapeli kuu, halafu wakristo mnawaamini Sana hao matapeli
 
Hayo ya imani za radi ni ya kwako lakini la kwangu nyie kujifanya hamuamini ushirikina wakati mme chanja chale hadi kwenye nyeti
Na wewe kuamini uchawi ni imani yako, usiilazimishe kwa wengine. We kama unaamini uchawi endelea kuamini, lakini fahamu kuwa kuamini uchawi kama unavyoamini wewe hadi kufikia kuchanja nyeti nao ni uchawi.
 
Hili jambo la kawaida, inaonyesha aliamka ghafla na kunyoosha chooni.

Kwa hiyo mzunguko wa damu ulifeli kwenda kichwani kama inavyotakiwa hivyo kupungukiwa na oksijeni ya kutosha kichwani.

Inashauriwa unapoamka toka usingizini jaribu kukaa kidogo kabla hujasimama
 
Micturition (or post-micturition) syncope is fainting while urinating or immediately after urinating. This is likely due to a severe drop in blood pressure. Micturition syncope is most common in older men and usually when getting up at night from a deep sleep.
 
Tbs haithibitishi mafuta ya kupikia ubora wake na kuwaacha wananchi wakila nyama nyekundu kwa wingi hapa nchini, matokeo yake ndiyo kushindwa kipitisha damu kwenye ubongo.
 
Mimi ni Muislamu
Katika mafundisho ya dini yetu ni kua chooni wanakaa viumbe wabaya yni masheitwani ndo mna mafundisho ya dini yetu ni kua ukiingia chooni watakiwa kusoma dua na ukimaliza wasoma dua kwa kumshukuru Mungu kukulinda na hao viumbe

Kuna moja ilitokea morogoro
M.ke ameingia chooni hajasoma dua akapigwa kofi na kiumbe ambacho hajakiona ndo ikawa sababu ya kifo chake

Tusipuuze mafundisho ya dini yanatusaidia bila ya sisi wenyewe kujua
 
Nimewahi kukutwa na hili jambo zaid ya mara nne,na inatokea kila nikienda haja ndogo usiku(kushtuka/kuamka na kwenda haja ndogo)
Nachukuliaga kawaida tu mana nikihisi kizunguzungu huwa natulia hadi kiishe ndo nitoke
Nadhani sio kwako tu ,mm naamka Kwa kushtuka na mbio hadi toilet apo unakuta Nina mawenge ya usingizi au ubaya ukiwasha taa usiku gafla unaumia macho,ila Mimi sijawahi anguka ,naona ni mfumo wa mwili tu unahitaji utulivu kwanza ndio uamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…