Jirani yangu ni mganga, anatufanya tusilale usiku

Mganga tena dah ni sawa na kulala makaburini sahau kuhusu usingizi
 
Kwamba mganga anafukuza wachawi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hio njia inafanya kazi kweri Mana tumechoka usiku hatulali
Hakuna binadamu muoga kama tapeli. Fanyeni na nakuhakikishia anaondoka.

Yeye anaigiza uganga hivyo chochote kilichokaa kimazingara atajua waganga wa kweli wanataka kumuondoa.

Tena mkitaka kunogesha, chukueni subwoofer kubwa na rekodini sauti za paka na bundi (zipo nyingi youtube). Ikfika saa 8 usiku mnafungulia full blast kuelekea kwake kipindi hicho msahaweka njiwa wenu kizingitini.
Hachukui round anasepa huyo.
 
Aisee ni shidaa Kama tupo makaburini hivi ata tendo na mke hatuenjoy

[emoji23][emoji23] chakufanya huyo nenden mkamtishie mm nakumbuka kuna mganga alilazimisha kupanga nyumbani mama akampa biti moja iyo hakuludi tena
 
Hakuna binadamu muoga kama tapeli. Fanyeni na nakuhakikishia anaondoka.

Yeye anaigiza uganga hivyo chochote kilichokaa kimazingara atajua waganga wa kweli wanataka kumuondoa.

Tena mkitaka kunogesha, chukueni subwoofer kubwa na rekodini sauti za paka na bundi (zipo nyingi youtube). Ikfika saa 8 usiku mnafungulia full blast kuelekea kwake kipindi hicho msahaweka njiwa wenu kizingitini.
Hachukui round anasepa huyo.
Mkuu unataka kumponza jamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna binadamu muoga kama tapeli. Fanyeni na nakuhakikishia anaondoka.

Yeye anaigiza uganga hivyo chochote kilichokaa kimazingara atajua waganga wa kweli wanataka kumuondoa.

Tena mkitaka kunogesha, chukueni subwoofer kubwa na rekodini sauti za paka na bundi (zipo nyingi youtube). Ikfika saa 8 usiku mnafungulia full blast kuelekea kwake kipindi hicho msahaweka njiwa wenu kizingitini.
Hachukui round anasepa huyo.
Mkuu nimekupata sana
 
Back
Top Bottom