Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida


Hizi story ndio zinafanya wengine tuwaze sana kuishi Bongo. Ni kama kila sehemu kuna mauza uza tu. Sijuagi kama ni kweli au sound tu za wabongo, but I don't wish to find out either. Watanzania ni watu noma sana.
 
Acha upuuz mzee ,mwambie jamaaa enu bwana moleli Mbna hajaeleza mtoto wa bigi alizikwa wapi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Namimi najiuliza ,kama huyo mtoto alikufa ,walimzika wapi ? ,ni nani aliyemzika huyo maiti ? , Na mwenye nyumba au mwenye kiti wa mtaa au balozi hakuja kushuhudia huyo maiti ? ,Na mbona kwenye huo mkutano huyu mwandishi anadai eti majirani na wapangaji wanasema hawajaona big ,ina maana huyo mtoto alikufa hapo nje na kwenda kuzikwa bila Big kuonekana , ?
Steve Mollel toa maelezo yaliyonyooka hapa
 

Soma vema, msiba wa mtoto ulitokea lini na mimi nilienda lini huko? Mimi sikupata kuhani msiba huo.

Na hayo mengine kama ulivyoyasoma yako sahihi sana, ndo maana hiko kipande sijaandika 'The End' kwasababu bado kuna mengi hayajasemwa, tena mengine hata bado hujajiuliza.

BIGI alikuwa wapi wakati wa mazishi? Mtoto alizikiwa wapi? Kina nani walikuwapo hapo mbali na majirani? Yule mkewe naye vipi? Bembela na Shangazi yake walikwenda wapi siku ile mpaka kutopatikana kisha wakaja kurejea siku kadhaa? Na kadhalika na kadhalika. Naomba uningoje kwenye mwendelezo.
 
Huo muda unajibu ungefika mbali Mkuu, wewe kandamiza story
 
Tivu achana na kujibu watu we weka tu story mtu maswali na majibu atajijibu mwenyewe fanya kama hauoni we tuburudishe tu
 
Woyoooo tivu ake
 
kilichomkuta big ndio kilichomkuta kilichmtoa kanga madoa
 
Haya ndio tunayataka ufafanuz Kama huu

Mpk hapa tuko sawa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…