Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Hio sh 50 uloiokota Steve umechukua mikosiiiiiiiii!!
Wachawi/walozi wanapenda sana kutumia pesa za sarafu kwenye shirki zao / maulozi yao
Ilitokea kibibi kizeee au mtu ambae unajua/ kuhisi ni mchawi akakuomba sh 50 ...100 au hata 200 usimpee hio ya coin moja kwa moja mpe Ya note ikiwezekana kubwa kabisa akatafute chenchi mwenyewe akurudishie yeyee!!
Giza lina mauzauza sio poaahhh!!
Hizi story ndio zinafanya wengine tuwaze sana kuishi Bongo. Ni kama kila sehemu kuna mauza uza tu. Sijuagi kama ni kweli au sound tu za wabongo, but I don't wish to find out either. Watanzania ni watu noma sana.