aya beb wangu , thex ucwe unakata tamaa bnanilikata tamaa uliposema tag zangu huwa huzioni,ila naanza rasmi kukutag kipenzi
Aisee mipasho unajua ,wewe ni me😄😄Punguza umbea, soma uelewe kama hujaelewa nilicho maanisha mshirikishe hata mumeo ,usipende kukurupuka kuleta sonona zako humu. Angalia content binti ....ikbidi jikite zaidi kumuhudumia Mumeo..
AnaSoma vema, msiba wa mtoto ulitokea lini na mimi nilienda lini huko? Mimi sikupata kuhani msiba huo.
Na hayo mengine kama ulivyoyasoma yako sahihi sana, ndo maana hiko kipande sijaandika 'The End' kwasababu bado kuna mengi hayajasemwa, tena mengine hata bado hujajiuliza.
BIGI alikuwa wapi wakati wa mazishi? Mtoto alizikiwa wapi? Kina nani walikuwapo hapo mbali na majirani? Yule mkewe naye vipi? Bembela na Shangazi yake walikwenda wapi siku ile mpaka kutopatikana kisha wakaja kurejea siku kadhaa? Na kadhalika na kadhalika. Naomba uningoje kwenye mwendelezo.
We jamaa ni nyuzi zaidi ya mbili hivi unavamia na kuleta uharibifu, hebu balance shobo hakuna aliyekuita humu. Kuwa kama mwanamke na si ujiweke binti mwenye kupelekeshwa na kuvunja ungo. Hakuna mahali alipoandika amekuwekea wewe usomeWew Ni mpumbavu Sana na huna akili na hutakuwa nayo
Niwapi nimearibu story kuuliza no kosa kwako shuleni ulisomea ujinga
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jamaa yupo toxic sana, yani ana dalalia mpaka tungo za watu, kila kitu yupo negative, ana vi conditions vya ajabu. Yani kuna watu ni aibu kwa kweliWe jamaa ni nyuzi zaidi ya mbili hivi unavamia na kuleta uharibifu, hebu balance shobo hakuna aliyekuita humu. Kuwa kama mwanamke na si ujiweke binti mwenye kupelekeshwa na kuvunja ungo. Hakuna mahali alipoandika amekuwekea wewe usome
Naona ndiyo njia yake ya kutafutia kiki humu, hajui kama anaharibu mood za watu na hajaombwa wala kushinikizwa aweke mashudu yake. Umaarufu aa mitandaoni unaharibu watu akiliJamaa yupo toxic sana, yani ana dalalia mpaka tungo za watu, kila kitu yupo negative, ana vi conditions vya ajabu. Yani kuna watu ni aibu kwa kweli
Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Mbuzi mwingine huyu Bas hi story amemuwekea mama ako asomeWe jamaa ni nyuzi zaidi ya mbili hivi unavamia na kuleta uharibifu, hebu balance shobo hakuna aliyekuita humu. Kuwa kama mwanamke na si ujiweke binti mwenye kupelekeshwa na kuvunja ungo. Hakuna mahali alipoandika amekuwekea wewe usome
Usiichukulie jf too serious sana vinginevyo utakuwa paka tuJamaa yupo toxic sana, yani ana dalalia mpaka tungo za watu, kila kitu yupo negative, ana vi conditions vya ajabu. Yani kuna watu ni aibu kwa kweli
Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Noo, sikuchukulii wewe serious ndio mana sikukujibu weweUsiichukulie jf too serious sana vinginevyo utakuwa paka tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yaas, hata hivyo huwa hawana cha maanaNaona ndiyo njia yake ya kutafutia kiki humu, hajui kama anaharibu mood za watu na hajaombwa wala kushinikizwa aweke mashudu yake. Umaarufu aa mitandaoni unaharibu watu akili
Jamaa ana maneno mengine yasiyo na faidaDah episode ya leo mkuu umeyumba hadi inaisha anatajwa bembela tu yaani mhusika mkuu akuhusishwa kabisa[emoji51][emoji51]
Sawa mbuzi jike, ushazalishwa watoto wangapi na mabeberu zizini?Mbuzi mwingine huyu Bas hi story amemuwekea mama ako asome
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app