Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Big kasema ama zake ama zako......
FB_IMG_1676545194425.jpg
 
Punguza umbea, soma uelewe kama hujaelewa nilicho maanisha mshirikishe hata mumeo ,usipende kukurupuka kuleta sonona zako humu. Angalia content binti ....ikbidi jikite zaidi kumuhudumia Mumeo..
Aisee mipasho unajua ,wewe ni me😄😄
 
Endelea Steve achana na wajuaji,wengine unatupa uroda Ile mbaya!
Soma vema, msiba wa mtoto ulitokea lini na mimi nilienda lini huko? Mimi sikupata kuhani msiba huo.

Na hayo mengine kama ulivyoyasoma yako sahihi sana, ndo maana hiko kipande sijaandika 'The End' kwasababu bado kuna mengi hayajasemwa, tena mengine hata bado hujajiuliza.

BIGI alikuwa wapi wakati wa mazishi? Mtoto alizikiwa wapi? Kina nani walikuwapo hapo mbali na majirani? Yule mkewe naye vipi? Bembela na Shangazi yake walikwenda wapi siku ile mpaka kutopatikana kisha wakaja kurejea siku kadhaa? Na kadhalika na kadhalika. Naomba uningoje kwenye mwendelezo.
Ana
 
Wew Ni mpumbavu Sana na huna akili na hutakuwa nayo

Niwapi nimearibu story kuuliza no kosa kwako shuleni ulisomea ujinga

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
We jamaa ni nyuzi zaidi ya mbili hivi unavamia na kuleta uharibifu, hebu balance shobo hakuna aliyekuita humu. Kuwa kama mwanamke na si ujiweke binti mwenye kupelekeshwa na kuvunja ungo. Hakuna mahali alipoandika amekuwekea wewe usome
 
Jamaa yupo toxic sana, yani ana dalalia mpaka tungo za watu, kila kitu yupo negative, ana vi conditions vya ajabu. Yani kuna watu ni aibu kwa kweli

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa yupo toxic sana, yani ana dalalia mpaka tungo za watu, kila kitu yupo negative, ana vi conditions vya ajabu. Yani kuna watu ni aibu kwa kweli

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Naona ndiyo njia yake ya kutafutia kiki humu, hajui kama anaharibu mood za watu na hajaombwa wala kushinikizwa aweke mashudu yake. Umaarufu aa mitandaoni unaharibu watu akili
 
Taswira ya big ambayo ipo kichwani ni yule aliyekuwa baunsa wa diamond baadaye akaomdoka aliyedaiwa kula demu wa harmonize salah
 
We jamaa ni nyuzi zaidi ya mbili hivi unavamia na kuleta uharibifu, hebu balance shobo hakuna aliyekuita humu. Kuwa kama mwanamke na si ujiweke binti mwenye kupelekeshwa na kuvunja ungo. Hakuna mahali alipoandika amekuwekea wewe usome
Mbuzi mwingine huyu Bas hi story amemuwekea mama ako asome

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom