Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Mara paaaaap! Hawa hapa! Mkojo unarudi tena kwenye figo ulipotoka unazalishwa unakua kvant unalewa tilalila, na unaanguka hapohapo! Ukiinuka upo hosp na hang_over
JamiiForums2069436298.jpg
 
Watu mnavurugana hatari........ iv kwa haraka haraka yule Bigi hajafa kweli au ndiokuzimia baada ya nafsi yake ya uongo kupigwa kombora na kuangamia koridoniiii......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukipata jirani kama Big umekomaaaa vinginevyo uwe na nyenzo kama Bembela.
 
Soma vema, msiba wa mtoto ulitokea lini na mimi nilienda lini huko? Mimi sikupata kuhani msiba huo.

Na hayo mengine kama ulivyoyasoma yako sahihi sana, ndo maana hiko kipande sijaandika 'The End' kwasababu bado kuna mengi hayajasemwa, tena mengine hata bado hujajiuliza.

BIGI alikuwa wapi wakati wa mazishi? Mtoto alizikiwa wapi? Kina nani walikuwapo hapo mbali na majirani? Yule mkewe naye vipi? Bembela na Shangazi yake walikwenda wapi siku ile mpaka kutopatikana kisha wakaja kurejea siku kadhaa? Na kadhalika na kadhalika. Naomba uningoje kwenye mwendelezo.
Bora uje utupe mwendelezo chief maana nimejikuta namuwaza Big mchana kutwa
 
Back
Top Bottom