Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

IMG_20230210_133154.jpg
IMG_20230210_120631.jpg

Dah japo uchawi aumpendez mtu Ila pumzika pema BIG Aya mengine yakupita Tu kumbu kumbu Bora ni ulipotoka kutupa kiroba na alafu ukarudi kwa kunyata nenda BIG mtu mzito.
 
Naomba nitume mwendelezo kesho. Leo nimebanwa kidogo na shughuli.
Take easy mkuu hulipwi hapa tuliojaa ni wapenda hadithi tu iwe uongo au ukweli.
Kulikua na hadithi za kijeba mzee ole zamani alikua mambo yake km bigi.
Ulisoma story zA Linda na Obi?
Hadithi za kina AE Musiba je
Tutarudi na roho zetu,
ama zao ama zangu.
Kuna kitabu pia hadithi ya binti mmoja wa kisingida hapo Kinondoni imesimuliwa vizuri sana nimesahau jina.
Hivyo ni baadhi vitabu nimesoma.
Kuna kingine kinaitwa Nelia au Nely binti mmoja alitolewa West Africa km mchumba akapelekwa Italy bila kujua kumbe anapelekwa kwenye ma brothel kuuzwa.
Hii ilinitoa machozi.
Maana mtiririko wa hadithi na vile visa vilivyomtokea yule binti sikuvumilia.
So relax, ukipata
muda simulia
 
Back
Top Bottom