Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Niliwaza ivo piaDah
Inaelekea huyu Shangazi ndiye mganga mwenyewe...
Endelea kujichekesha Kama dole lipo ndani.Aisee mipasho unajua ,wewe ni me😄😄
Wewe ndio yule shangazi?Niko na Bembela hapa tunatoka Tanga
Bora uje utupe mwendelezo chief maana nimejikuta namuwaza Big mchana kutwaSoma vema, msiba wa mtoto ulitokea lini na mimi nilienda lini huko? Mimi sikupata kuhani msiba huo.
Na hayo mengine kama ulivyoyasoma yako sahihi sana, ndo maana hiko kipande sijaandika 'The End' kwasababu bado kuna mengi hayajasemwa, tena mengine hata bado hujajiuliza.
BIGI alikuwa wapi wakati wa mazishi? Mtoto alizikiwa wapi? Kina nani walikuwapo hapo mbali na majirani? Yule mkewe naye vipi? Bembela na Shangazi yake walikwenda wapi siku ile mpaka kutopatikana kisha wakaja kurejea siku kadhaa? Na kadhalika na kadhalika. Naomba uningoje kwenye mwendelezo.
SawaNaomba nitume mwendelezo kesho. Leo nimebanwa kidogo na shughuli.
Haina shida mkuu. Nje ya kutuburudisha baadhi tunajua unamajukumu mengine.Naomba nitume mwendelezo kesho. Leo nimebanwa kidogo na shughuli.
SawaaaNaomba nitume mwendelezo kesho. Leo nimebanwa kidogo na shughuli.
Baby mamboSawaaa
stevs anakuburudisha eti?Haina shida mkuu. Nje ya kutuburudisha baadhi tunajua unamajukumu mengine.
Haina shida kabisaNaomba nitume mwendelezo kesho. Leo nimebanwa kidogo na shughuli.