Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Wachawi huwa wana alama zao usoni kwenye paji la uso wakikutana sehemu lazima wajuane..Pia nimawakala wa shetani so vya kuua kutoa kafara watu kwao ni kawaida sana! Pia wengine Hao wakubwa zao huwa wanaangalia kwenye nyumba anayoishi agent kama kuna watoto/ watu wenye nyota wanazozijua wenyewe so wakiona huyo mtu anawafaa katika masuala yao na agent wao yuko hapo karibu ni kumuelekeza tu cha kufanya.. ndio unashangaa ghalfa Mtoto kakatika! Sina hamuu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
 
Kuna mmoja nimempata majuzi naye ni homa haelewi hasikii ukiita haitiki, usipomuaansha aandae watoto.shule naye analala anaponichosha usipomwambia aoge haogi nikaona huyu nimetafuta jukumu lingine kwangu tena bado unamlipa nikamrudisha mama ake anasema yani ni mchafu hata huku kijijini tukaona akija mjin atabadilika lkn wapi, wanasema mpige, sasa kupiga tena watoto wa watu mtihan
 
Inaitwaje tena nami nikasome
Nilikua namwambia kuhusu hii ya Big ila kuna ile nyingine ya Tukibaki hai tutasimulia ni nzuri sana kaipitie uisome japo Steve hakuimalizia..

Sasa badae alivotulia nikamuuliza pale jikoni ulikua unavutana na Nani??? Akasema Alivomaliza kupika hio kabegi kuitua toka jikoni kuiweka chini tu ile sasa anataka kuibeba ile ananyanyua tu alishangaa anaona mara kuku mara hapohapo anakua ng'ombe mara anageuka kuwa bibi kizee Huku yanamvuta kwanguvu!!
 
Summary ya nn kama hutaki story pita kule
 
Asante mrembo,umetutendea wema[emoji122]
 
Wee ni mitihani nakwambia hata usithubutu wala kuhangaika kuwapiga hao mabinti tena wakuja wanaokulelea watoto wako! Ukiwa haupo wanakompaseti kwa watoto either kuwapiga au kutowatendea vema! Bora uwarudishe tu! Tena wahivo wanakuaga wazito kweli kichwani elekeza elekeza nawewe wapii hawaelewiii!!
 
Duuh mwenzangu unaishi wapi wewe,mbona kuna matukio hadi mchana
 
Antonia itabidi sasa na wewe uandike tu uzi wako mamie maana nakuwa namaswali mengi kutaka kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…