Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Yaani light ningejua Bora ningehama tuu!! Manaake dk za mwisho walichokuja kunifanyia, nimeteseka sana na mpaka sasa nateseka nacho. Yaani kwakifupi walitaka niwe chizi na walifanikiwa, sema nikawa najizuia sana
Duhhhh!
Washendweeee IJN!!
Pole sana mkuu Mungu akusaidie kwakweli wachawi wanatesa sanaa!! mnoo yani
 
Duhhhh!
Washendweeee IJN!!
Pole sana mkuu Mungu akusaidie kwakweli wachawi wanatesa sanaa!! mnoo yani
Na usione watu wanafarakana kwenye hayo majumba ya kupanga ukadhani ni mambo ya kawaida nooo, wachawi ndiyo kazi yao ile.
 
Chai
 
Siyo chai mkuu, nimeandika kitu ambacho kilinitokea kweli!! Na siyo hayo tuu,,, Bali Kuna mengine mengi walinifanyia ikapelekea hadi chumba changu mwenyewe nakikimbia naenda kulala kwa marafiki.

Na vita ikawa kubwa baada ya kwenda kwa mganga akanipa dawa ya kudeki ndani, usiku nikiwa nimelala nilisikia mlio wa paka chumbani kwangu na nisijue kaangilia wapi, ilikuwa saa9 yule paka alilia mala tatu na kutokomea uvunguni mwa kitanda.

Nilipompigia Simu yule ostaz,,, aliniambia huyo ni Adui, na ameingia kakuta Bahari hivyo kivyovyote vile ungemuona live ndiyo maana kajigeuza paka.....
 
Duuuh kumbe ngoma hizi zipo kabisa?
 
Duuuh kumbe ngoma hizi zipo kabisa?
Ndiyo, halafu wachawi wakijua dawa unayotumia Ina nguvu wanaiharibu, ndicho kilichotokea kwangu, kwani niliambiwa nideki kwa muda wa siku tatu ile siku ya Mwisho wakati najianda kudeki kumbe yule mtoto wa yule mama alikuja na kuinyooshea mkono ile Dawa na ikaisha nguvu. Hapa kwenye mkono naomba nieleze kidogo, unajua wachawi wengi uchawi upo mkononi, na ndiyo maana hata Pete za majini zinavaliwa mkononi, Kuna mwingine unakuta anakunyooshea mkono ujue Kuna nguvu ipo inatoka ila kwa macho ya kawaida huwezi kuiona, ndicho alichokifanya yule binti.
 
Pole sana mkuu hapo sio maskani tena hama
 
Pole sana mkuu hapo sio maskani tena hama
Nilihama kitambo sana Mkuu, kwani Mwenye ile nyumba alilet barua za kututaka ifikapo mwezi Fulani Kila mtu aondoke nataka kubomoa haya mabanda ili nijenge nyumba kubwa, basi muda ulipofika nilihama, ingawa hakufanya hivyo kwani wenzetu waliobaki pale ikiwemo wale wachawi waliendelea kuishi pale, ila nilikuja kusikia na wao walihama. Ila vile vyumba bado vipo hajabomoa hadi Leo.
 
Jomba inabid uogee chumvi ya mawe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…