Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Yaani light ningejua Bora ningehama tuu!! Manaake dk za mwisho walichokuja kunifanyia, nimeteseka sana na mpaka sasa nateseka nacho. Yaani kwakifupi walitaka niwe chizi na walifanikiwa, sema nikawa najizuia sana
Duhhhh!
Washendweeee IJN!!
Pole sana mkuu Mungu akusaidie kwakweli wachawi wanatesa sanaa!! mnoo yani
 
Duhhhh!
Washendweeee IJN!!
Pole sana mkuu Mungu akusaidie kwakweli wachawi wanatesa sanaa!! mnoo yani
Na usione watu wanafarakana kwenye hayo majumba ya kupanga ukadhani ni mambo ya kawaida nooo, wachawi ndiyo kazi yao ile.
 
Vijana mna nongwa sana
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Baada ya kuulizwa mke sasa hivi kila sehemu unampachika. Ngoja nikukumbushe lingine, dada wa kazi(beki tatu) vipi? Maana ni ngumu sana wapangaji wote hao na familia hizo kusiwe na yoyote mwenye dada wa kazi
ushatafuniwa mke we tulia
 
Sijui aliwapumbaza? Mwishowe eti jamaa mwenye kile chumba akatoka nakuanza kunikolomea eti wewe unataka Nini usiku wote huu? Nikamwambia kwanza samahani hivi mkeo alitoka kwenda chooni? Jamaa akasema hapana, nikamwambia nimemuona mtu ameingia humu ndani Tena ni msichana amevaa nguo ya kaniki pia nikamwambia hata chumbani kwangu nahisi kuna kitu kwani chumba nikizito sana na Kuna halufu za ajabu ajabu, naomba twende ukashuhudie, yule jamaa alinijibu kwa upole kwa kulitaja jina langu" saizi usiku sana wee Nenda kalale sawa, tutaongea kesho" Kisha akafunga mlango chaajabu akili ikaanza kunijia kumbe yule niliyekua naongea naye siyo muhusika wa kile chumba Bali alikuwa ni yule binti alijigeuza na kuvaa umbo la yule jamaa, Ambae ndiye aliyekua muhusika wa kile chumba na alikuwa anaishi na mkewe, aisee kiukweli sitakuja kuusahau usiku ule, kwani niliogopa kuingia chumbani kwangu kulala ingawa baadae wapangaji wenzangu baadhi walitoka nje na wote waliotoka walikuwa wanawake, then nikawahadithia lile tukio, Kuna dada mmoja alisikika akisema" ndiyo maana mwanangu amekua analia muda wote" nakweli kabla ya Mimi kutoka nje nikweli nilisikia yule mtoto analia na ndiyo kitu kilichonitoa ndani na Lengo nilitaka nikamwambie yule mama Ambae mtoto wake alilia kwa muda mure, ampake Kitunguu saumu kwenye Paji la uso. Hii dawa nilifundishwa na Mshana Jr Mshana J.

Sasa nilipotoka ndipo nikagumiana na yule binti then akabadili rout na kwenda kuingia kile chumba ambacho hakikua cha kwao.

Basi ilibidi tusambaratike wao walinisisitiza niende nikalale kwani mpaka muda huo ilikuwa saa tisa(9).
Kiukweli niliogopa sana kuingia ndani ilinibidi nibaki nje pale pale Huku nikiwa nalandalanda mpaka majira ya saa kumi na moja(11) ndipo nikaingia ndani kiujasiri nikachukua hela ya kula kazini Kisha nduki

Sasa nikiwa natembea barabarani na kulikuwa kumepambazuka muda huo yaani kweupe, ghafla nikawa najihisi ni mwepesi sana kiasi kwamba nikawa naelea juu ya ardhi, jamani hii Dunia Kuna watu wanaujua uchawi aisee, basi ghafla nikajikuta nasinzia Huku natembea yaani usingizi mzito ukanivagaa Huku natembea

Kiukweli ni Mungu tuu alinilinda kwani uwezekano wa kugongwa na gari ulikuwa Mkubwa sana ni Mungu alinilinda, na nahisi walitaka kuniua kwa njia ile ili Siri isivuje waliamini kuendelea kuwepo ktk Yale mazingira wasingeishi kwa amani, kwani walishajua nimejua kuwa wao ni wachawi hivyo walitaka waniangamize ingawa ilishindikana,

Walikuwa waha wa kigoma, alikuwa mama wa Makamo Ambae alikuwa na watoto wakike watatu Huyu mmoja alikuwa anasoma, wengine wawili alikuwa anasaidiana nao kufanya ile biashara yake na ktk hao wawili mmoja ndiye kafundishwa uchawi na ndiye alikuwa anawatesa watu kwenye Yale mabanda.

Ghafla nilijikuta nguvu zinarudi na ule usingizi ukakata yaani nikawa nipo kawaida kama siku zote ingawa nilipofika kazini Kuna vitu vilijitokeza

Na niseme kwa tukuo lile lilikuja kunisababishia matatizo makubwa sana mpaka sasa yananitesa nimehangaika kwa waganga baadhi nakushindwa kunitatulia.........

Mkuu nikipata wasaa nami nitakuja kuupolomosha huu mkasa" KILA NYUMBA NILIYOHAMIA NILIKUTANA NA MAUZAUZA YA WACHAWI"
Chai
 
Siyo chai mkuu, nimeandika kitu ambacho kilinitokea kweli!! Na siyo hayo tuu,,, Bali Kuna mengine mengi walinifanyia ikapelekea hadi chumba changu mwenyewe nakikimbia naenda kulala kwa marafiki.

Na vita ikawa kubwa baada ya kwenda kwa mganga akanipa dawa ya kudeki ndani, usiku nikiwa nimelala nilisikia mlio wa paka chumbani kwangu na nisijue kaangilia wapi, ilikuwa saa9 yule paka alilia mala tatu na kutokomea uvunguni mwa kitanda.

Nilipompigia Simu yule ostaz,,, aliniambia huyo ni Adui, na ameingia kakuta Bahari hivyo kivyovyote vile ungemuona live ndiyo maana kajigeuza paka.....
 
Duuuh kumbe ngoma hizi zipo kabisa?
 
Duuuh kumbe ngoma hizi zipo kabisa?
Ndiyo, halafu wachawi wakijua dawa unayotumia Ina nguvu wanaiharibu, ndicho kilichotokea kwangu, kwani niliambiwa nideki kwa muda wa siku tatu ile siku ya Mwisho wakati najianda kudeki kumbe yule mtoto wa yule mama alikuja na kuinyooshea mkono ile Dawa na ikaisha nguvu. Hapa kwenye mkono naomba nieleze kidogo, unajua wachawi wengi uchawi upo mkononi, na ndiyo maana hata Pete za majini zinavaliwa mkononi, Kuna mwingine unakuta anakunyooshea mkono ujue Kuna nguvu ipo inatoka ila kwa macho ya kawaida huwezi kuiona, ndicho alichokifanya yule binti.
 
Pole sana mkuu hapo sio maskani tena hama
 
Pole sana mkuu hapo sio maskani tena hama
Nilihama kitambo sana Mkuu, kwani Mwenye ile nyumba alilet barua za kututaka ifikapo mwezi Fulani Kila mtu aondoke nataka kubomoa haya mabanda ili nijenge nyumba kubwa, basi muda ulipofika nilihama, ingawa hakufanya hivyo kwani wenzetu waliobaki pale ikiwemo wale wachawi waliendelea kuishi pale, ila nilikuja kusikia na wao walihama. Ila vile vyumba bado vipo hajabomoa hadi Leo.
 
Jomba inabid uogee chumvi ya mawe sasa
 
Back
Top Bottom