Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Yeye mwenyewe msimuliaji anajikaanga ila baada ya wadau ku point out mapungufu ameanza kujirekebisha.
Watu mna discourage sana, muache mtu aandike kile alichonuwia at first place, atakosolewa baada ya story kuisha, akiwa anaandika baada ya kila criticism story inalala upande wa wale waliopinga, so anakuwa analisha matarajio yao.
 
Nyie mnamuwazia Big me namuwazia huyu jamaa kwan hana mke au familia? Inakuwaje yeye kila siku saa nane au tisa yuko sebulen au yuko macho? Halaf mara zote unazotoka nje sijasikia hata umemshirikisha mke wako au na we mchawi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kasema anakuwa analinda bodaboda yake anayolaza hapo nje.
 
Wajuaji mshaanza, je big alipolock na kufuli pale koridoni ilikuwa sehemu ya ngapi? Umejiulza kabla hajakulupushwa na jirani mwenye Duka kule dirishani alienda kumgongea babu yako? Note that dhumuni la Uzi the main character ni Biggie asa we unataka asumulie kila kitu, yaani aeleze siku Ile nilikula makande na wife, kesho yake watoto nikapeleka shule ohh jumapili sebuleni wife akatenga ugali tembele? Asa si itakuwa ni tabu kila alichofanya aandike?
😂😂😂
 
Uzi umevamiwa na vibwengo.

Kwenye fictional literature kuna minor (secondary) character ambaye yeye yupo kusaidia main character na kusaidia kusukuma plot events forward.
For that case mke wa jamaa ni minor character ambavyo kimsingi minor character si lazima kuhusishwa/kutajwatajwa kwenye matukio ni endapo tu inabidi kumhusisha.
Ndicho anachokifanya bwana SteveMollel.
Umeshajua ana familia, period. Utaona mke wake na mtoto baadaye maana hawa ni supporting characters hawana kipaumbele kwenye matukio, kama kuhusika (kutajwa) watahusika (watatajwa) kwenye plots za muhimu tu.
 
Jamani ee kwenye fasihi Kuna wahusika wakuu na wahusika napa mhusika bapa anaweza akaonekana maramoja tu kwenye stori, mhusika wetu mkuu hapa ni Big na ndugu msimuliaji basii tukomae na Jao nyiemnaotaka amtaje mkewe mnataka nini Kwa huyo mke?
 
Ndo maana kuna jamaa alitutosa na ile CHAI yake ya lindi.
Mkuu SteveMollel comment nyingine fanya kuzipotezea tu make zinakera. Mtu anashindwa kuweka umakini ktk kusoma na kufuatilia mtililiko wa matukio na story kwaujumla, then anakuja na arguments na assumptions kibao eti kwanini mkeo/familia yako hujaiweka kwenye story mpaka epsode ya 7??!! so what?

Siku hizi jf imevamiwa na viumbe wa ajabu ajabu sana. Waandishi mna kazi make inahtaji moyo wa chuma kuendelea kushusha epsodes huku ukitakakiwa kujibu comments za kukeresha toka kwa members.
Bila shaka mkuu SteveMollel umejionea utofauti mkubwa wa uchangiaji toka kipindi unatuletea #baladhuri mwenye mkono wa chuma na uliporudi upya awamu hii.

Halafu enzi zile wafuatiliaji tulikuwa tunarekebisha hasa kuepuka mijadala inje ya mada na ku quote post ndefu ya story ktk epsode husika ili kufupisha kurasa za thread. Lakini siku hizi mambo yamebadilika sana watu wanageuza
 
Back
Top Bottom