Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Huwa tunakopi na kwenda kuhadidhia kule facebook na kujifanya sisi ndio watunzi na tunapata ujiko sana. Sasa kule wanatupiga maswali mengi tunashindwa kujibu tunaonekana waongo.[emoji1][emoji1][emoji1] Ile ya umughaka ilinipa ujiko sana kule na views na likes za kutosha [emoji23][emoji23]
Una kimbele front sana ndo mana ukapata 'ngwese' ...alafu 'mbaazi' haziendani na 'mineli' shauriyo 😂
 
Witness juma mpaka leo Una

Witness juma mpaka leo unatumia Techno spark two?[emoji33][emoji33] njoo pm nikupe iPhone 11 macho mawili,siitumii sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38] hii ni sharti la mganga asee...hizo iphone ninazo kibao zimejaa kwenye droo tu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huwa tunakopi na kwenda kuhadidhia kule facebook na kujifanya sisi ndio watunzi na tunapata ujiko sana. Sasa kule wanatupiga maswali mengi tunashindwa kujibu tunaonekana waongo.[emoji1][emoji1][emoji1] Ile ya umughaka ilinipa ujiko sana kule na views na likes za kutosha [emoji23][emoji23]
Na K ulipata za kushiba[emoji2][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Okey Okey Okey. Tumewasikia wadau kuanzia episodes zinazokuja Mke na Mtoto nao watatajwa/wataingizwa kwenye story. Ni kweli muda mrefu msimuliaji alijisahau akawa anasimulia kama vile anaishi peke yake/yupo single.lakini kutokana na maoni yenu sasa hao wahusika nao wataingizwa.

Tunaomba utulivu ombi lenu litafanyiwa kazi. Mnataka nini kingine kiwepo?section ya kunyanduana? Ataweka. Na nani mwingine atajwe? Basi muwe watulivu msije muudhi mtunzi wa story.
 
Mkuu kuwa na staha Basi
Ndo mnatuharibiaga thread hivi hivi
Hapana. Kuna mambo lazima yawe very very clear, from the start jamaa tangu amehamia huko mashuka amejielezea as if yeye ni bachelor kitu ambacho kinaleta wrong interpretation kwa mtu aliye claim kuwa na familia.

Story tunaipenda lakini ajitahidi kuipa uhalisia zaidi.
 
Hivi mkiwa mnasubiria episodes za movie huko Hollywood huwa mnawashurutisha waandaaji? Nyie mnakaangwa nini??? [emoji57]
Yeye mwenyewe msimuliaji anajikaanga ila baada ya wadau ku point out mapungufu ameanza kujirekebisha.
 
Back
Top Bottom