Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Nimeeleza kwa kina lifestyle yangu na changamoto niliyokuwa nayo kwenye upande wa usafiri wangu na pia udhaifu wa makazi tulokuwapo.

Ungeweza kulala fofofo huku umeacha chombo ambacho hakipo locked na mahali pana kadhia ya vibaka mara kwa mara? Huku miundombinu ikiwa so rafiki?

Anyways mkuu, tunatofautiana maisha, akili na tabia.

Napokea vyote maua na mawe.
Well said Mkuu
 
Clarify boss mkeo ni mtu au msukule?

Adi unapeleka BIG hospital hashiriki tu

Au BUG ndiyo mkeo
Nadhan tumuache huenda huko mbele tutaelewa,lkn kuna matukio nikiyaunga kama mwanaume mwenye ndoa naona kuna namna angepaswa kutueleza,kwa mfano alivyosafiri angerud lzm angeongea na shemej yetu kujua kama zile purukushan ziliendelea au zilikoma,,ila anyway tunywe mtori.
 
Sio wanaume wote wanapenda kushirikisha wake zao Mambo ya hivyo, nadhan unatujua vyema wanawake
 
Ngoja nitoe dukuduku la moyo kabla ya kwenda mbele...

Story ni nzuri ila inautata kidogo kwenye upande wa familia ya msimuliaji
Kuna mdau mmoja kwenye comment aliulizia familia ya msimuliaje ilikuwa wapi tangu ep1-6
Maana mda wote huo sijaona neno 'WIFE' ila ep7 ndio nimeshuhudia nilitaka niulize msimuliaje aliishi pekee yake ep 1-6

Ila huu uandishi unafanana na UMUGHAKA[emoji848][emoji848]
 
Ngoja nitoe dukuduku la moyo kabla ya kwenda mbele..
Story ni nzuri ila inautata kidogo kwenye upande wa familia ya msimuliaji
Kuna mdau mmoja kwenye comment aliulizia familia ya msimuliaje ilikuwa wapi tangu ep1-6
Maana mda wote huo sijaona neno 'WIFE' ila ep7 ndio nimeshuhudia nilitaka niulize msimuliaje aliishi pekee yake ep 1-6
Ila huu uandishi unafanana na UMUGHAKA[emoji848][emoji848]
Kuna ulazima gani wa kumfananisha SteveMollel na UMUGHAKA ?!
We soma story enjoy basi...
 
Back
Top Bottom